Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Zama za kuongoza watu kwa ujinga zimepita.Chama cha mapinduzi kinakupenda ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama za kuongoza watu kwa ujinga zimepita.Chama cha mapinduzi kinakupenda ndugu yangu
Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. AsanteWe kenge unaona mleta uzi ameongea point gani ya maana?
Tatiza watu mnajikuta wajuaaji kwa vitu msivyovijua ndiyo mana hata maendeleo yanayofanywa na ccm mnajifanya hamyaoni!! ngoja nikupe shule kidogo na hiyo masters yako,mwaka 2009 un kupitia shirika la w.f.p walipata ufadhili wa usd mil 30 kwa ajili ya vyakula shuleni na kuchimba visima hela hizi zilifadhiliwa na watu wa Canada na ulikuwa upo kwenye mikoa 8 na shule zaidi ya mia point sikumbuki vizuri ila mwaka 2013 au 2014 ukatokea ufisadi hapa.nchini na serikali haikuonekana kuwachukulia wale watu hatua,unajua nn kilitokea?mradi ulipelekwa yemen!! nn nataka kukufundisha un hawakupi tu hela kisa upo kwenye makubaliano gan sijui wanaangalia integrityWe mbona unazidi kuonesha ujinga wako! Fedha zikitolewa unadhani ni chama kinaenda kupiga kampeni huko?
Nimekuambia Tanzania ni mwanachama wa UN na hii la elimu ni swala la Makubaliano ya nchi zote wanachama wa Umoja wa mataifa.
Ni sharti ya nchi wanachama kusaini na kutekeleza mkataba huo hata ingekua ni chama Cha chauma!
Tumekubaliana kwamba elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu! Na Haki za binadamu sio hisani ni lazima!
Sasa mnapikenua meno na kusema ni Ccm inasomesha watoto wetu Bure mjue kwamba watu wote sio wajinga kama ninyi.
Akili zenu ni kama za huyu Moleli anayewambia wananchi Kodi zao hazitumiki kuleta maendeleo Ila fedha za Ccm!
Nilikudharau baada ya kusoma kichwa cha mada na hiyo namba moja. Sikutaka kuendelea huko na mengine yaliyofuatia.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukran
Msigombane ndugu zangu ccm inawapendaN
Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. Asante
Ok. Nimekuelewa Kiongozi.Samahani sana.N
Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. Asante
Umesharudisha ili na sisi wadogo zako tunufaike?Nilikudharau baada ya kusoma kichwa cha mada na hiyo namba moja. Sikutaka kuendelea huko na mengine yaliyofuatia.
JF inazo takataka za kila aina; lakini hatuwezi kuilaumu yenyewe kwa sababu inatoa UHURU kwa kila anayetaka hata kuonyesha ujinga mbele za watu wengine.
Ni hivi. Mimi ni munufaika mkubwa sana wa hiyo namba moja; lakini sikupewa fursa hiyo na CCM unayo izungumzia wewe hapa.
Naomba usinichokoze tafadhali kwa makasiriko niliyo nayo juu ya hii takataka yenu mnayo iita CCM . CCM ilikwisha kufa siku nyingi.
Msigombane ndugu zangu elewaneniOk. Nimekuelewa Kiongozi.Samahani sana.
Kaka mwakani si mwaka wa uchaguzi?utanisamehe!!Fanya mpango hiyo akili usiende nayo mwakani
Kwani katiba imebadilika toka hiyo 95, ngoja siku watu waingie barabarani, au mapinduzi ya kijeshi sio utajua hamkuwa na watu.Toka 1995 hadi leo nyimbo ni hii hii
Sana; tena sana.Umesharudisha ili na sisi wadogo zako tunufaike?
Barabarani kufanya nn mkubwa?Kwani katiba imebadilika toka hiyo 95, ngoja siku watu waingie barabarani, au mapinduzi ya kijeshi sio utajua hamkuwa na watu.
Basi kama umesharudisha ubarikiweSana; tena sana.
Na Tanzania bila kujali hiyo CCM au chawa wake itaendelea kuwa sehemu yangu milele. Ndiyo maana naumia sana mnapo inajisi kiasi hiki hii nchi iliyo barikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Inaumiza sana.
Unauliza hirizi Tanga?Barabarani kufanya nn mkubwa?
Yaani watu wote tufikiri kama wanavyofikiri wanachama wa CCM?Maana yake kusiwepo na vyama vya upinzani wala mawazo mapya. Hii akili ya wapi isiyotambua mawazo kinzani?
Kwamba huu ujinga utavuka nao mwaka na ukaongeze hasara kwa familia na taifa Kwa ujumla! Ole wa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonyaKaka mwakani si mwaka wa uchaguzi?utanisamehe!!
Kaka ulichokiongea sio sahihi,ushabiki usikufanye utoe uzi ambao haulewekiKaka mwakani si mwaka wa uchaguzi?utanisamehe!!
Bila kutaka kuendeleza majadiliano haya zaidi ya hapa; naomba tu uelewe kuwa hakuna kiasi anachoweza kufanya mtu "kurudisha" fadhila anazo pewa na nchi kama Tanzania. Sote tunao itakia mema nchi hii tunachangia tu kwa hicho kiasi kilichomo ndani ya uwezo wetu.Basi kama umesharudisha ubarikiwe