Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

N
We kenge unaona mleta uzi ameongea point gani ya maana?
Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. Asante
 
We mbona unazidi kuonesha ujinga wako! Fedha zikitolewa unadhani ni chama kinaenda kupiga kampeni huko?
Nimekuambia Tanzania ni mwanachama wa UN na hii la elimu ni swala la Makubaliano ya nchi zote wanachama wa Umoja wa mataifa.
Ni sharti ya nchi wanachama kusaini na kutekeleza mkataba huo hata ingekua ni chama Cha chauma!
Tumekubaliana kwamba elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu! Na Haki za binadamu sio hisani ni lazima!
Sasa mnapikenua meno na kusema ni Ccm inasomesha watoto wetu Bure mjue kwamba watu wote sio wajinga kama ninyi.
Akili zenu ni kama za huyu Moleli anayewambia wananchi Kodi zao hazitumiki kuleta maendeleo Ila fedha za Ccm!
Tatiza watu mnajikuta wajuaaji kwa vitu msivyovijua ndiyo mana hata maendeleo yanayofanywa na ccm mnajifanya hamyaoni!! ngoja nikupe shule kidogo na hiyo masters yako,mwaka 2009 un kupitia shirika la w.f.p walipata ufadhili wa usd mil 30 kwa ajili ya vyakula shuleni na kuchimba visima hela hizi zilifadhiliwa na watu wa Canada na ulikuwa upo kwenye mikoa 8 na shule zaidi ya mia point sikumbuki vizuri ila mwaka 2013 au 2014 ukatokea ufisadi hapa.nchini na serikali haikuonekana kuwachukulia wale watu hatua,unajua nn kilitokea?mradi ulipelekwa yemen!! nn nataka kukufundisha un hawakupi tu hela kisa upo kwenye makubaliano gan sijui wanaangalia integrity
 
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukran
Nilikudharau baada ya kusoma kichwa cha mada na hiyo namba moja. Sikutaka kuendelea huko na mengine yaliyofuatia.
JF inazo takataka za kila aina; lakini hatuwezi kuilaumu yenyewe kwa sababu inatoa UHURU kwa kila anayetaka hata kuonyesha ujinga mbele za watu wengine.

Ni hivi. Mimi ni munufaika mkubwa sana wa hiyo namba moja; lakini sikupewa fursa hiyo na CCM unayo izungumzia wewe hapa.
Naomba usinichokoze tafadhali kwa makasiriko niliyo nayo juu ya hii takataka yenu mnayo iita CCM . CCM ilikwisha kufa siku nyingi.
 
N

Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. Asante
Msigombane ndugu zangu ccm inawapenda
 
N

Ni kama hujamuelewa na nilijua itakua hivyo punguza hasira na ufuatilie post zangu kwenye huu Uzi na utaona nilimaanisha which one is rubish and waste sperm! Rejea mkuu bila hasira utajua Mimi na wewe letu Moja na ufute hiyo neno kenge! Nilpoandika "hii" nilimaanisha mtoa Uzi. Asante
Ok. Nimekuelewa Kiongozi.Samahani sana.
 
Nilikudharau baada ya kusoma kichwa cha mada na hiyo namba moja. Sikutaka kuendelea huko na mengine yaliyofuatia.
JF inazo takataka za kila aina; lakini hatuwezi kuilaumu yenyewe kwa sababu inatoa UHURU kwa kila anayetaka hata kuonyesha ujinga mbele za watu wengine.

Ni hivi. Mimi ni munufaika mkubwa sana wa hiyo namba moja; lakini sikupewa fursa hiyo na CCM unayo izungumzia wewe hapa.
Naomba usinichokoze tafadhali kwa makasiriko niliyo nayo juu ya hii takataka yenu mnayo iita CCM . CCM ilikwisha kufa siku nyingi.
Umesharudisha ili na sisi wadogo zako tunufaike?
 
Toka 1995 hadi leo nyimbo ni hii hii
Kwani katiba imebadilika toka hiyo 95, ngoja siku watu waingie barabarani, au mapinduzi ya kijeshi sio utajua hamkuwa na watu.
 
Umesharudisha ili na sisi wadogo zako tunufaike?
Sana; tena sana.
Na Tanzania bila kujali hiyo CCM au chawa wake itaendelea kuwa sehemu yangu milele. Ndiyo maana naumia sana mnapo inajisi kiasi hiki hii nchi iliyo barikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Inaumiza sana.
 
Basi kama umesharudisha ubarikiwe
 
Y
Maana yake kusiwepo na vyama vya upinzani wala mawazo mapya. Hii akili ya wapi isiyotambua mawazo kinzani?
Yaani watu wote tufikiri kama wanavyofikiri wanachama wa CCM?

Yaani tutumie tabia ya unyumbu wa kisiasa kuendesha maisha yetu haiwezekani, kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, (uchawa)

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya baadhi wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi bila utii, (unafiki)

CCM ilituandaa kuto kuhoji na tabia ya kuto kuhoji inaanzia kwenye ngazi ya família kuna vitu kwenye ngazi ya família ukivihoji utaambiwa kama umekua uondoke, tabia hii ya kukataza kuhoji Jamii imeichukua hadi kwenye ngazi zote za maisha, huko makanisani, shuleni, vyuoni na makazini

Ndiyo maana watu walipo hoji kuhusu kiwango kikubwa cha tozo, waliambiwa waende burudi

Mme sababisha jamii iwe ya kanyaga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi yaani Jamii ambayo mnaweza kuisafisha ubongo, (a society which can be brainwashed), and dance to your tune

Kama ambavyo umeamua kuandika uzi huu ni kweli tunaishi kwenye Jamii ambayo mafuvu yao bado akili hazijarudishwa, kwasababu hiyo, watakiamini ulichokiandika
 
Mtoa uzi HAUNA TOFAUTI NA AFANDE RAMA.

🫱Zile ela wanazopewa wanachuo sio za bure bali ni kodi kutoka kwa mama zao,baba zao na familia zao kwa ujumla
🫱zile pesa sio hisani wala huruma ya serikal kwa vijana wa elimu ya juu bali ni mikopo ambayo mwisho wa siku inarudishwa na fedha za wananchi kinachomatter ni kwamba serikali ni kama facilitator

🫱tanzania ni multyparty state ,usiseme ccm ndio kila kitu wakati kuna viongozi wa chama pinzani wanaleta maendeleo

🫱watoto hawalelewi katika maadili ya ccm bali misingi ya dini na jamii na kiutamaduni

Narudia tena ...HUNA TOFAUTI NA AFANDE RAMA AU KISURA WA MBEYA.
 
Kaka mwakani si mwaka wa uchaguzi?utanisamehe!!
Kwamba huu ujinga utavuka nao mwaka na ukaongeze hasara kwa familia na taifa Kwa ujumla! Ole wa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya
 
Basi kama umesharudisha ubarikiwe
Bila kutaka kuendeleza majadiliano haya zaidi ya hapa; naomba tu uelewe kuwa hakuna kiasi anachoweza kufanya mtu "kurudisha" fadhila anazo pewa na nchi kama Tanzania. Sote tunao itakia mema nchi hii tunachangia tu kwa hicho kiasi kilichomo ndani ya uwezo wetu.

Sasa Tanzania inahitaji mchango mkubwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote kwa sababu imo katika majaribu makubwa sana.
 
Back
Top Bottom