Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

🚮🚮🚮
 
Umetumwa wewe sio bure
 
Kwa akili hizi, kama taifa tuna safari ndefu sana.

Binafsi ungekuwa karibu ningekutandika vibao vingi sana.
Mimi naona hata hiyo safari haipo maana tukisema ni ndefu angalao matumaini ya ku move yapo. Kuna watu viazi sana, yaan watu kusoma Kwa Kodi zao nalo ni jambo la kuishukuru ccm?
 
Sio hisani nahayo yote nikodi zetu
 
Mimi naona hata hiyo safari haipo maana tukisema ni ndefu angalao matumaini ya ku move yapo. Kuna watu viazi sana, yaan watu kusoma Kwa Kodi zao nalo ni jambo la kuishukuru ccm?
Kwa Tanzania kiongozi akitimiza wajibu wake watu huwa wanahisi anatoa ni msaada.
 
We Mpumbavu hizo sio Pesa za CCM, Ni Pesa za Serikali, Ni kodi za Wananchi sio za CCM.

Msijustify vitu vya Kijinga kisa CCM iko madarakani.
Jifunzeni Kusema ukweli hata mkiwa sirini, ukweli hukuweka Huru!

AMDG!
 
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Na Mungu watie rahana wapinzani wote wao ndo chanzo cha sisi kurudi nyuma
Sabu km wapinzani wangejitambua wangetupa elimu na kutuoa ujinga km huu wa mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…