Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Kwa Resources zilizopo nchi ya kusadikika kungekua na sera bora, viongozi wawajibikaji basi kungekua na neema kubwa zaidi ya hivyo vidubwasha ulivyotaja. Nchi ya kusadikika iko static kwa sababu ya sera mbovu, mifumo mibovu na uongozi mbovu unatokana na chama kibovu.
 
Anajitukana mwenyewe, hivi inakuingia akilini hospitali dawa hamna, mashule hali mbaya, matumizi mabaya ya fedha za umma huku anasafiri nje na wasanii, ananunua magoli
 
Basi kuna muda ukijitafakari unajiona bonge la Genius. Hizo tabia zako za kihafidhina kwenye mambo ya muhimu achana nazo hazina tija yeyote kwa taifa na watu wake isipokuwa una mirija ya unyonyaji hivyo unataka kijifichia ndani ya chama.

Usilazimishe mawazo yako wewe yawe mawazo ya wote.
 
Anajitukana mwenyewe, hivi inakuingia akilini hospitali dawa hamna, mashule hali mbaya, matumizi mabaya ya fedha za umma huku anasafiri nje na wasanii, ananunua magoli
Matumizi mabaya ya fedha ni kuanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati?mbona Huna shukrani,kutoa pembejeo bure kwa wakulima imekuwa matumizi mabaya fedha?
 
Sijakulazimisha ila kuwa na shukrani
 
Matumizi mabaya ya fedha ni kuanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati?mbona Huna shukrani,kutoa pembejeo bure kwa wakulima imekuwa matumizi mabaya fedha?
Tena huko usiguse kabisa huko usijaribu kugusa kabisa paache km palivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…