Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Oyaa wazee fungueni hii code, au hawa jamaa huwa wanalipwa...?
 
Namshuru mama samia kwa kutuletea mvua huku nanjilinji mazao yamestawi
Yah inawezekana kama amesisitiza na kusimamia , kutokukata miti na kutunza mazingira mvua ikanyesha kwann tusimshukuru?
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. CCM ni ile ya Mwalimu Nyerere baada ya hapo limekuwa genge walanchi tu.
 
mbona ajira hakuna adi Leo? acha uchawa
Ajira ni tatizo la dunia nzima,ila kama ni mkweli tangu 2021 vijana wengi wameondoka mtaani nakuingia kwenye ajira za serikalini,shukuru kwa kumaliza masomo Mungu atakusaidia utapata kazi,kuwa na shukrani
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. CCM ni ile ya Mwalimu Nyerere baada ya hapo limekuwa genge walanchi tu.
Walanchi wametoa zaidi ya tarioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa bwawa la umeme ili tuondokane na adha ya upatikanaji wa umeme wa kutosha?kuwa serious kidogo
 
Hicho kilevi unachotumia achana nacho kabisa kimekukataa
 
Walanchi wametoa zaidi ya tarioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa bwawa la umeme ili tuondokane na adha ya upatikanaji wa umeme wa kutosha?kuwa serious kidogo
Ni kodi zetu wote,usiwe na akili kama yule mgonjwa wa zika Dr. Mollel.
 
Duh!!!!
 
Usingeandika yote hayo:
Andika ukiwa MASIKINI ........ Umamaliza mchezo.
 
Wewe ndio laana yenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…