Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Sawa dada yanguNdiyo kuwateka kutoka kwenye uongo mnaojazana mitandaoni kila siku kuwapeleka kwenye ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dada yanguNdiyo kuwateka kutoka kwenye uongo mnaojazana mitandaoni kila siku kuwapeleka kwenye ukweli
Okay kaka ccm inakupendaSawa dada yangu
Uwezo mdogo wa kuelewa sijapinga mabadiliko nimesema kutokuwa na shukrani
Siyo bure sawa ungokopeshwa na baba yako basi,kuwa na shukrani
Inarudishwa ndiyo ila tushukuru!wangapi tungeweza kumudu hizo gharama!!tumefika point ya kukatwa hiyo mikopo makazini kwa sababu serikali ya ccm ilichukua jukumu la wazazi wetu kutusomesha hivyo tukishukuru chama cha mapinduziUsisahau mikopo inarudishwa. Kila siku watu wankabwa makazini.
Kodi ndiyo hizo zinarudi kuwapa wajasiamali mikopo isiyo na riba hivyo inabidi wawe na heshima kwa ccm
Mzazi gani kashawahi kudaiwa kisa mtoto wake kashindwa kulipa mkopo?wanafaika wangap wanafariki kila siku wakati wanadaiwa umeshawahi kusikia ndugu zao wanadaiwa?tuwe na shukrani jamaniMzazi ni mdhamini Kama hujui. Kwa hivyo mwanafunzi asipolipa mzazi wake atadaiwa.
Inarudishwa ndiyo ila tushukuru!wangapi tungeweza kumudu hizo gharama!!tumefika point ya kukatwa hiyo mikopo makazini kwa sababu serikali ya ccm ilichukua jukumu la wazazi wetu kutusomesha hivyo tukishukuru chama cha mapinduzi
Ndiyo kweli kabisa basi tuipongeze kwa jinsi inavyotumikia wananchi vizuri siyo kila siku matusi tuSerikali inawatumikia wananchi. Ndio maana kila baada ya miaka mitano wanakuja kuomba kura kwa wananchi
Mzazi gani kashawahi kudaiwa kisa mtoto wake kashindwa kulipa mkopo?wanafaika wangap wanafariki kila siku wakati wanadaiwa umeshawahi kusikia ndugu zao wanadaiwa?tuwe na shukrani jamani
Ndiyo kweli kabisa basi tuipongeze kwa jinsi inavyotumikia wananchi vizuri siyo kila siku matusi tu
Utaki kukubali ukweli tu tatizo serikali ya ccm ina upendo mpaka tunaipa majukumu ya wazazi wetu,na yenyewe inakubali,kazi ya serikali ni kuweka miundombinu wezeshi ya wewe kusoma,kazi ya kukusomesha ni ya wazazi wako,serikali ya ccm ina upendo mno tuishukuruWengi hawapati hiyo mikopo. Ni wachache wanapata kwa Asilimia mia. Ila ujue hiyo ndio kazi ya Serikali Sio hisani. Serikali ipo kuwatumikia wananchi na Sio wananchi kuitumikia.
Nimemtafakari nimekosa jibuKwa akili hizi, kama taifa tuna safari ndefu sana.
Binafsi ungekuwa karibu ningekutandika vibao vingi sana.
Dada unaishi wapi nije kukuhondomoraOkay kaka ccm inakupenda
Kuiga jambo jema siyo kitu kibayaShukrani kwenye mkopo?. Basi tushukuru na mabenki au kausha damu wanaokopeshwa. Wapinzani walikuja na slogan ya elimu Bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ndipo CCM wakaiga.
Ccm wakubali tu kuwa zama zao zimekwisha, wanapolazimisha kutawala bila ridhaa ya wananchi wanajitakia matusi yasiyo ya lazima. Na kwa jinsi ccm inavyoshurutisha kukaa madarakani, siku ikitoka madarakani ndio kwaheri.1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.
2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.
3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.
4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.
5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Ccm inakupenda na kukujaliNimemtafakari nimekosa jibu
Dua la kuku,karibu chama cha mapinduzi, chama la ushindiCcm wakubali tu kuwa zama zao zimekwisha, wanapolazimisha kutawala bila ridhaa ya wananchi wanajitakia matusi yasiyo ya lazima. Na kwa jinsi ccm inavyoshurutisha kukaa madarakani, siku ikitoka madarakani ndio kwaheri.