passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Uadilifu wa watu wanaokubali hizo teuzi ni highly questionable! Anyway, tuwaache mazafakas wakajipake kinyesi wakidhani body lotion!Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.
Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.
Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.
Sure kwa sababu mabadala ya kuangalia njia sahihi ya kutatua matatizo wenyewe wanatumia tume kwq maslahi yao.SAMUYA MTUHUMIWA ANAUNDA TUME YENYE MASLAHI YAKE ,TAYARI KABLA YA KUANZA TUMEIMESHINDWA
Wanaenda kupiga pesa tu huku product yao haina manufaa.Uadilifu wa watu wanaokubali hizo teuzi ni highly questionable! Anyway, tuwaache mazafakas wakajipake kinyesi wakidhani body lotion!
ramli ni upotofu wa kimaskini sana aise, dah π€£Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.
Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.
Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.
Muhuni anaunda tume kuchunguza mahasimu wake huku akijifanya msafi. Hizo tume zake za kihuni zituambie ni wapi huyo muuaji kapatia kura 31m.ramli ni upotofu wa kimaskini sana aise, dah π€£
relax gentleman hakuna haja ya kuweweseka, watafikiwa tu viongozi wako na mkono wa sheria πMuhuni anaunda tume kuchunguza mahasimu wake huku akijifanya msafi. Hizo tume zake za kihuni zituambie ni wapi huyo muuaji kapatia kura 31m.
Mkono wa sheria au Hila za muuaji?relax gentleman hakuna haja ya kuweweseka, watafikiwa tu viongozi wako na mkono wa sheria π
Mbona tayari ishashindwa!Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.
Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.
Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.
kwa wakati muafaka mtasema yote kwa mujibu wa sheria za nchi,Mkono wa sheria au Hila za muuaji?
Gent unajua kuwa Kuna levels za ubabe, ukuda, uzandiki udikteta ambazo walikuwanazo maraisi wa nchi kadhaa bado hazijafikiwa na Hawa wa huku Tanganyika? Ila hao viongozi wababe wote wamesha perish na ubabe wao?relax gentleman hakuna haja ya kuweweseka, watafikiwa tu viongozi wako na mkono wa sheria π
Labda mkawatishie washamba huko vijijini. Hakuna mtu anawaogopa nyie πkwa wakati muafaka mtasema yote kwa mujibu wa sheria za nchi,
just relax π
Kwenye hili si la kumlaumu Jaji Chande alikuwa ni Jaji mwenye CV kubwa tulionae ndio maana akachaguliwa na hata huyo ni hivyo hivyo halihusiani na diniKWanini tume zote zinaongozwa na waislamu?
kuna moja yupo korokoroni katishika hadi kapata chronic roundworms, ingawa minyoo yake sugu inatokana na kuongiliwa na aliemuoa huko ughaibuni but chronic stress zimefanya minyoo hiyo sugu kupanda hadi kichwani na sasa ni waz changamoto ya afya ya akili imeanza kumzonga,Labda mkawatishie washamba huko vijijini. Hakuna mtu anawaogopa nyie π
kwamba ndio unamfokea au kumtisha nani gentleman?π€£Gent unajua kuwa Kuna levels za ubabe, ukuda, uzandiki udikteta ambazo walikuwanazo maraisi wa nchi kadhaa bado hazijafikiwa na Hawa wa huku Tanganyika? Ila hao viongozi wababe wote wamesha perish na ubabe wao?
Naomba ufikishe taarifa kuwa uonevu Huwa unakikomo. Na kikomo chake Huwa ni kibaya kwa anaye fanya uonevu.
Nakusisutiza pia mkumbushe lile neno lililosomwa na sister kwenye msiba wa cardinal asilichukulie poa before it is too late. Mtakao teseka baada ya yeye kung'oka ni nyie mlio "pitishwa kwa mlango wa nyuma"