Kama ya wanaume wanaita kitambi, je ya wanawake tunaitaje?

Kakitambii 🀣🀣🀣
 
Side kama side uje huku utuambie kinaitwaje!
 
"Kitambi chako babe hakijakaa vibaya/
Wanaokiponda wakome wana izaya/
Kila nguo inakukaa babe wa moto faya/
Usiwe na kitambi kwani we mwimba kwaya?/
We ni natural hupendi kujipodoa/
Nimezama kwako nani wa kunitoa?/
Mungu kakupa guu, nyama kakukomoa/
Ila ninachopenda kwako babe, hiko kitambi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…