Kama yale anayoyasema ndugu Polepole kuhusu bei ya gesi ni ya kweli basi Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha bei ya gesi

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza bei ya gesi ya kupikia. Mhe. Rais anasema kuwa tupunguze sana kupikia kuni ambayo nchi yetu inaweza kugeuka jangwa basi ni vema sasa bei ya gesi ikapunguzwa haraka iwezekavyo.
 
Ferrari, Rolls-Royce and the like vitanunuliwa na nini?
 
PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza bei ya gesi ya kupikia. Mhe. Rais anasema kuwa tupunguze sana kupikia kuni ambayo nchi yetu inaweza kugeuka jangwa basi ni vema sasa bei ya gesi ikapunguzwa haraka iwezekavyo.
Uchumi wetu ni Soko Huru siyo wa kijamaa 🙏
 
Hahaha Gesi imefanya nini ?

Polepole anataka mkate mzizi wa matatizo siyo Gesi!.
 
Serikali huwa haipangiwi yenyewe ndio hupanga
 
Gesi tunayo ila ichakatwe ili iweze kua ya matumiz, ndo maana gesi ya mtwara ikapewa muwekezaji, ili bei ya gesi ishuke na tuache kununua gesi za kupikia kutoka nje, ni kukopa mkopo mkubwa kama ile mikopo iliyo jenga bwala la nyerere na tujenge vitalo vya kuchakata gesi ili itoke kua gesi asilia na kua end product kwa matumizi,

Kwa kufanya ivo tutaona kweli kampeni ya nishati safi ipo katika uwalisia wa kumsaidia mtanzania wa hali ya chini na itakua haina aja ya maliasili kukimbizana na wakata mkaa bei ikiwa chini adi maskini aka afford nani ata tumia mkaa
asanteh naomba kuwasilisha.
 
Ikipungua maana yake ni kwamba 90% y yote aliyosema yanahitaji response. Serikali haiwez kupunguza mana itaprov kuwq ameongea kweli 100%. So haiwezekani

Na kuna siku niliwah kusema hapa ukiona tatizo la jamii au watu wengi lina utatuzi mdogo tu lakin halitatuliwi ujue watu wenye mamlaka kuna namna wananufaika na tatizo hilo
 
Back
Top Bottom