Gesi tunayo ila ichakatwe ili iweze kua ya matumiz, ndo maana gesi ya mtwara ikapewa muwekezaji, ili bei ya gesi ishuke na tuache kununua gesi za kupikia kutoka nje, ni kukopa mkopo mkubwa kama ile mikopo iliyo jenga bwala la nyerere na tujenge vitalo vya kuchakata gesi ili itoke kua gesi asilia na kua end product kwa matumizi,
Kwa kufanya ivo tutaona kweli kampeni ya nishati safi ipo katika uwalisia wa kumsaidia mtanzania wa hali ya chini na itakua haina aja ya maliasili kukimbizana na wakata mkaa bei ikiwa chini adi maskini aka afford nani ata tumia mkaa
asanteh naomba kuwasilisha.