Kama yanayoandikwa kuhusu Shujaa Magufuli ni kweli Basi Tundu Lisu apongezwe sana aliweza kumkosoa Shujaa akiwa Hai, hata Heche alimkosoa pale Tarime

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama alivyoandika Kabendera ni kweli basi Mbowe na Wenje wasigombee Uchaguzi wa Chadema wawaachie majasiri wawili waliomkabili Shujaa Magufuli bila kumuogopa

Mbowe na Wenje waliohama nchi kwa kumuogopa Magufuli na walirudi Shujaa Magufuli alipozikwa kaburini

Narudia tena Tundu Lisu haogopi Vita na ha Bei

Ahsanteni Sana πŸ˜ƒ

Mlale Unono
 
"Narudia tena Tundu Lisu haogopi vita na hana bei"
 
aliye kuwa hamjui magufuli ni mtu wa aina gani basi tumpe pole.

Tangu jamaa akiwa mbunge alikuwa na mambo ya ajabu ajabu sana. Hasa chuki kwa wapinzani. Na hii alikuwa anachukia na kuzila kwendaa sehemu walipo madiwani wa upinzani ndani ya jimbo lake.

Alikuwa ni mtu wa visasi na kutaka kuonekana yeye yupo right way hakupenda kukosolewa. Hii ilionekana hata alipopewa urais.

Kiufupi huyo jamaa na tabia zake alitakiwa kuwa askari lakini sio kuwa kiongozi tena mkuu wa Nchi.

Ila ndio hivyo tena Mungu alitukomboa kutoka kwenye mikono ya damu
 
Magufuli ni mwanasayansi

Ukichukua Katiba ya CCM ya 1977 na ile ya JMT ya 1977 utagundua Hazina tofauti katika utekelezaji wa Sera

Ukichukua Katiba za vyama vya Upinzani za 1993 na kuendelea utagundua Ili mambo wanayohubiri yatekelezeke ni lazima pawepo na Katiba Mpya

Ndio Shujaa Magufuli akawa anasema bila kuogopa kuwa Vyama vya Upinzani vinachelewesha Maendeleo Kwa sababu havifit kwenye Katiba ya JMT ya 1977

Sidhani kama utaelewa Ujanja alioutumia Nyerere kwenye huu Upinzani wa kubumba πŸ˜‚
 
Hivi ww dogo usipoanzisha uzi huwa unawashwa?!
 

 
Acheni ujinga wenu, eti shujaa, tangu lini mtu muoga akaitwa shujaa
 
Mimi sio funny wa Mbowe wala JPM and of course even Lissu, mimi ni mwamini wa ukweli na facts. Tuweni wakweli kutoka moyoni, Mbowe alikimbia nchi lini? Kwamba mtu akisafiri tu kwa ajili ya shughuli zake hiyo nayo ni kukimbia nchi? Mbowe si amekuwepo nchini hadi bunge linavunjwa?
Again, pia siamini kama mtu kukimbia nchi yake eti ni dalili ya WOGA, tuandike vitu tunavyo viamini basi; hakuna shujaa wa KIFO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…