ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.
Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa mpaka Leo mambo NI Yale Yale
Report chafu za CAG
MA DEAL Ya ufisadi wa mabilioni
Upotevu wa hela
Haya tunakuwa wakubwa tunafanikiwa kupata kazi ila hata makazini mwendo NI ule ule wanafaidi top managements unakuta watu wachache Tu ndo wanatafuna mpaka hela ndani ya taasisi wale watumish wadogo wadogo wanaishia kuambulia viposho vidogo tena kwa masimango..duh aisee kama kweli yanayosemwa kuhusu madeal na rushwa na ufisadi ni ya ukweli basi naona kabisa Tanzania ndo inayoongoza duniani au NI kwamba hatusikii Tu ya nchi nyingine ila Hali ndo iko the same?