ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kinachonishangaza hata kipindi cha JPM ambaye alionekana NI mzalendo na mtetezi bado pia ma kashfa yaliendea kutajwa..au ndo mfumo Tu wa maisha kote isije kuwa naumia bure nafsini kwangu kumbe hata mambo yameruhusiwa Tu kufanyika na yamebarikiwaIpo wazi bwashee
Haya mambo NI TANZANIA pekee au kwetu yamezidi viwango au ndo mfumo Tu wa dunia nzima isipokuwa kwa nchi chacheUnashangaa mkuu!?
Kwa taarifa yako hayo unayoyasikia hayafiki hata 10% ya yanayofanyika
Watu wenye akili walipokuwa wakisema kinachohitajika ni mabadiliko ya mifumo ya nchi, drama za Magu za one man army hazitotufikisha popote walionekana wasaliti na vibaraka wa mabeberu.Kinachonishangaza hata kipindi cha JPM ambaye alionekana NI mzalendo na mtetezi bado pia ma kashfa yaliendea kutajwa..au ndo mfumo Tu wa maisha kote isije kuwa naumia bure nafsini kwangu kumbe hata mambo yameruhusiwa Tu kufanyika na yamebarikiwa
Mama bwaxi sio? 😄 🤣 mam mitungiMsimamizi mkuu wa rasilimali zetu yeye muda wote yuko bwaxi kila analoletewa mezani yeye anapitisha tu hataki kusumbua ubongo wake kufikiri.
Ni kwenye shithole countries, ila sisi tumezidi sana.Haya mambo NI TANZANIA pekee au kwetu yamezidi viwango au ndo mfumo Tu wa dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache
Ubongo wa kuusumbua wenyewe anao sasa 😀😂Msimamizi mkuu wa rasilimali zetu yeye muda wote yuko bwaxi kila analoletewa mezani yeye anapitisha tu hataki kusumbua ubongo wake kufikiri.
Viongozi na wanasiasa waislamu ndiyo chanzo cha nchi kunuka sana ufisadiTunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.
Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa mpaka Leo mambo NI Yale Yale
Report chafu za CAG
MA DEAL Ya ufisadi wa mabilioni
Upotevu wa hela
Haya tunakuwa wakubwa tunafanikiwa kupata kazi ila hata makazini mwendo NI ule ule wanafaidi top managements unakuta watu wachache Tu ndo wanatafuna mpaka hela ndani ya taasisi wale watumish wadogo wadogo wanaishia kuambulia viposho vidogo tena kwa masimango..duh aisee kama kweli yanayosemwa kuhusu madeal na rushwa na ufisadi ni ya ukweli basi naona kabisa Tanzania ndo inayoongoza duniani au NI kwamba hatusikii Tu ya nchi nyingine ila Hali ndo iko the same?
ukweli mtupuTunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.
Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa mpaka Leo mambo NI Yale Yale
Report chafu za CAG
MA DEAL Ya ufisadi wa mabilioni
Upotevu wa hela
Haya tunakuwa wakubwa tunafanikiwa kupata kazi ila hata makazini mwendo NI ule ule wanafaidi top managements unakuta watu wachache Tu ndo wanatafuna mpaka hela ndani ya taasisi wale watumish wadogo wadogo wanaishia kuambulia viposho vidogo tena kwa masimango..duh aisee kama kweli yanayosemwa kuhusu madeal na rushwa na ufisadi ni ya ukweli basi naona kabisa Tanzania ndo inayoongoza duniani au NI kwamba hatusikii Tu ya nchi nyingine ila Hali ndo iko the same?
Wa-Tanzania inabidi tujadiliane Kwa kina na tukubaliane. Uwekezaji katika raslinali za nchi ufanywe na nani. 1. Wageni, 2. Wazawa au 3. Wazawa.Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.
Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa mpaka Leo mambo NI Yale Yale
Report chafu za CAG
MA DEAL Ya ufisadi wa mabilioni
Upotevu wa hela
Haya tunakuwa wakubwa tunafanikiwa kupata kazi ila hata makazini mwendo NI ule ule wanafaidi top managements unakuta watu wachache Tu ndo wanatafuna mpaka hela ndani ya taasisi wale watumish wadogo wadogo wanaishia kuambulia viposho vidogo tena kwa masimango..duh aisee kama kweli yanayosemwa kuhusu madeal na rushwa na ufisadi ni ya ukweli basi naona kabisa Tanzania ndo inayoongoza duniani au NI kwamba hatusikii Tu ya nchi nyingine ila Hali ndo iko the same?
Mfano wako ni irrelevant kwa sasa kinachosemwa ni namna kiongozi wetu mkuu anavyoga uza lasilimali zetu kwa bei ya kutupa sawa na bure..Fikiria kuna mzawa anapewa kazi ya kuhudumia mwendokasi awamu ya Mbagala kesho anaamua Kwa sababu zake, kuuza hisa zake Kwa muwekezaji mwingine (ambapo ni haki yake kisheria) anaibuka mwanaharakati anasema Rais anatuibia. Hisa ni mali ya mwanahisa akianua kuuza anamuuzia yeyote mwenye dau linalokubaliana naye. Tumeshakubaliana serikali isiwe na 100% ya hisa katika migodi ni ama wachimbaji wadogo au wawekezejaji serikali ikiwa na hisa 40% tunatakaje?
Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.