Kama Yanga asiposhinda kwa Madiba mods nawaruhusu munipige ban ya wiki

Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu.

YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
Yanga hata kwa matokeo ya sare tunakwenda nusu fainali, siyo lazima tushinde.
 
Ulikuwa hujui kama mimi ni hamnazo ndugu yangu.

Mimekuwa nikijiita mimi ndio mjinga wa wajinga, Hujui hilo??

Na mimi pia Mpumbavu kulikoni watu wote.
So inakuwa Rahisi kumu Identify mwenzangu kama Askali JW, JK, MOSAD ,TISS na Codes
Hahahaha
 
Nilichojifunza mpaka sasa kwenye matokeo ya timu 6 kati ya 8 zilizoingia robo fainali; ni kwamba yeyote anaweza kusonga hatua ya nusu fainali. Maana matokeo yote ya hizo timu 6 ni ya 0 kwa 0!

Isipokuwa ni simba pekee ndiyo mpaka sasa imeshayaaga mashindano. Na hii ni baada tu ya kuruhusu kufungwa goli 1-0 na Al Ahly kwenye uwanja wake wa nyumbani. Kuna watu watasema eti simba ataenda kupindua meza ugenini!!

Kimsingi jambo hilo haliwezekani. Ni Yanga pekee ndiyo anaweza kumfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani. Simba ikijitahidi, basi ni sare.
 
kweli mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…