Kama Yanga atachukua Ubingwa msimu huu si kwa sababu ya ubora ila...

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2021
Posts
6,432
Reaction score
25,646
Mechi nyingine ya tatu mfululizo Timu ya yanga inadroo leo. Hasimu wao, mtani na bingwa mtetezi ametoka kushinda mechi Jana Kwa ushindi mnene wa goli nne, lakini mechi ya nyuma kabla ya Ile ya Jana alitoka kudraw na Namungo FC

Ninachotaka Kusema ni hiki; pamoja na Mayele kufunga mabao mengi na kuchangia takriban 34% ktk ushindi wa yanga,ukweli ni kwamba Kama Simba angekuwa bora msimu huu, hasa mzunguko wa Kwanza, Yanga wasingekuwa wanatamba mtaani na mitandaoni kuhusu timu Yao kuwa Bora sn msimu huu

Kwa lugha nyingine nyepesi ni kwamba, ubovu wa Simba ndiyo umeifanya club ya yanga kushine msimu huu na wala siyo ubora wa yanga yenyewe ndiyo utakaoifanya kuchukua ubingwa. Endapo Simba angekuwa bora Kama msimu uliopita, hakuna Shaka angekuwa bingwa msimu huu

Ndiyo: Yanga haijafungwa ktk mechi zote ilizocheza ndani ya msimu huu, lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba kuna tatizo mahali na wasipolishughulikia yajayo yanafurahisha

Full time: Yanga 0-0 Tanzania Prison
 
kutokupoteza mechi hata moja kwenye ligi kunawafanya Utopolo wajisahau.mechi zijazo wafungwe hata mechi moja tu watazinduka mazima mpaka kubeba ubingwa.
 
kutokupoteza mechi hata moja kwenye ligi kunawafanya Utopolo wajisahau.mechi zijazo wafungwe hata mechi moja tu watazinduka mazima mpaka kubeba ubingwa.
Naona huko insta kumewaka sn..manara anamuwashis Moto George job Kwa Kusema maneno km haya😅
 
kutokupoteza mechi hata moja kwenye ligi kunawafanya Utopolo wajisahau.mechi zijazo wafungwe hata mechi moja tu watazinduka mazima mpaka kubeba ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wananchi tutabeba ubingwa wa msimu 2021 / 2022 kibabe kabisaa kwa kumuacha makolo kwa point 3 tuuu, huu ndiyo utakuwa ubingwa mtamu kabisaa…...
 
wananchi tutabeba ubingwa wa msimu 2021 / 2022 kibabe kabisaa kwa kumuacha makolo kwa point 3 tuuu, huu ndiyo utakuwa ubingwa mtamu kabisaa…...
Mmeshaanza kupuyanga..nyie mnakuwa na ugonjwa wa kitete miguuni msimu unapikaribia kuisha😅

Si umemuona mayele Jana?
 
Wataka sema ubovu wa Yanga ndo sababu ya Simba kuchukua quadruple?
 
umeandika mashudu tu!!
 
Huo ubingwa mara 27 waliuchukua vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…