Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Mechi nyingine ya tatu mfululizo Timu ya yanga inadroo leo. Hasimu wao, mtani na bingwa mtetezi ametoka kushinda mechi Jana Kwa ushindi mnene wa goli nne, lakini mechi ya nyuma kabla ya Ile ya Jana alitoka kudraw na Namungo FC
Ninachotaka Kusema ni hiki; pamoja na Mayele kufunga mabao mengi na kuchangia takriban 34% ktk ushindi wa yanga,ukweli ni kwamba Kama Simba angekuwa bora msimu huu, hasa mzunguko wa Kwanza, Yanga wasingekuwa wanatamba mtaani na mitandaoni kuhusu timu Yao kuwa Bora sn msimu huu
Kwa lugha nyingine nyepesi ni kwamba, ubovu wa Simba ndiyo umeifanya club ya yanga kushine msimu huu na wala siyo ubora wa yanga yenyewe ndiyo utakaoifanya kuchukua ubingwa. Endapo Simba angekuwa bora Kama msimu uliopita, hakuna Shaka angekuwa bingwa msimu huu
Ndiyo: Yanga haijafungwa ktk mechi zote ilizocheza ndani ya msimu huu, lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba kuna tatizo mahali na wasipolishughulikia yajayo yanafurahisha
Full time: Yanga 0-0 Tanzania Prison