Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

Simba amechukua kombe lipi la CUF sababu mafanikio kwenye mpira ni makombe na sio kitu kingine
Kama hivyo wote tungekua kwenye 20 Bora Africa. Simba na Yanga wote hatujachukua kombe la Africa lkn Simba ni ya 14 ila nyie Malalamiko FC mko nje ya 55 Bora.
 
Ushauri wangu kwa Yanga watulie wajifunze jinsi club za kisasa zinavyoendesha timu zao. Huu ujuaji na kutaka kushindana na Simba hautawasaidia kitu.

Miaka ile walimpiga vita sana George Mpondela alipotaka kuifanya ya kisasa, imagine leo wangekuwa wapi. Wapo wanahangaika na wahuni wa GSM.

Simba sasa hivi focus yao ni kuwa club ya kimataifa zaidi, sidhani kama wanaiwazia sana Yanga.
 
Ninachofahamu Mimi..washiriki ambao hawakuwa wajumbe rasmi walitakiwa kuomba kwa kujaza fomu kwa mtandao na waliokidhi vigezo waliruhusiwa kushiriki kama ilivyokuwa kwa washiriki kutoka timu ya Simba Sports Club.
 
Naliona anguko la TFF ndani ya muda mfupi ujao. Kwa style inavyoongoza mpira nchini itaendelea kufanya kazi ya kujieleza siku hadi siku.
Hakuna Anguko lolote, yaan kisa Utopolo ndo TFF ianguke??
Team iko enyewe tyuh?? Mashabiki na viongozi wa huko mmeshapewa habari ndo hiyo.
 
CAF walizingatia ule msemo wa "birds of feather flock together"... Yanga wanaflock na kina manara.
 
Yaani hii riwaya yote hii ni kulalamikia kutoalikwa kwenye mkutano wa CAF tu au kuna jambo jingine?!
Naona mpaka historia ya Uhuru na mapambano dhidi ya Makaburu!!
Sioni Geita Gold FC, Coastal Union, Namungo FC wakilalamika!! Tatizo mnazidi kujiweka juu sana isivyo na kujiona wenye haki kila eneo. Sijui ni hasara gani mnaihesabu mmepata!
Vigezo vya kualikwa vikoje?
 
Hii timu Ina wapumbavu wengi ,kila kitu kulalamika ,mgealikwa mkekuja na malalamiko mengine hatualikwa vizuri au hatukupewa nafasi ya kutoa maoni kwenye mkutano.

Hebu oneni aibu basi, viongozi wenu ni wapumbavu ni watu wa visasi na kulalamika ,huyo huyo Rais wa TFF majuzi mnataka kwenda kuandamana halafu awaite tena mlete vurugu? Mbona mnakuwa wapumbavu, hivi Yanga watu wenye busara ndo hamna kabisa wamebaki wenye vinyesi kwenye bongo? Kila kona kulalamika ,hata mgealikwa mgesema hatuendi TFF inajipendekeza.
 
Hutakiwi kuongea usichokijua. Jengo la Yanga linalotajwa si hili la Twiga na Swahili street. Jengo la Yanga kabla ya Uhuru lipo mpaka Leo uliza wazee wako watakwambia liko wapi?
Nadhani ni mtaa wa mafia,mpaka Leo lipo na Lina frem watu wanauza spea za pikipiki
 
Yanga bado haijafika viwango vya kimataifa hivyo hawapaswi kulalamika kutopewa nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa. Pia hata kama wangepewa nafasi bado wasingekuwa na watu wenye weledi wa kuwawakilisha kwenye mkutano kama ule. Wawakilishi wa Yanga wangepata nafasi ya kwenda mkutanoni wangeingiza nchi kwenye aibu isiyoelezeka. Mtu kama Manara aliyemtupia maneno ya hovyo waziri mhusika asingeshindwa kumtupia maneno ya hovyo Rais wa CAF au FIFA. Au wangewakilishwa na Mzee Mpili? Pia Yanga iliyo na viongozi waliokosa nidhamu kwa vyovyote vile wasingealikwa kwa sababu mkutano ule una mkono mzito wa serikali ambayo Waziri wake ndo huyo katupiwa maneno machafu na Manara.
 
Jumamos wapange kikosi b kama hawaiwazii Yanga
 
Manara amefunguwi Ila nchi hii ujinga ni janga la kitaifa
 
senzo ni brand kubwa Africa, kiufupi Senzo ni mkubwa kuliko Yanga.

Let’s be fair kweli unaweza kumualika mtu kama Manara mule ndani? Vipi ikitokea amtukane Rais wa FIfA dunian hiyo aibu Taifa tutaiweka wapi?
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji38]
 
Manara kafungua ID JF tutapata tabu sana
 
Na nyie mnapenda kulalamika Sana sasa kama hawajatambua uwepo wenu kwa nini mlazimishe uwepo wenu.kwan kule wanagawa hela kwamba mmezikosa acheni uswahili na ushamba usio na maana

Yan we ndio hamnazo kabisa
 
Nimeishia hapo uliposema ushiriki wa Yanga kwenye ukombozi wa kudai uhuru
Hilo inapinga!?..pole...inaitwa timu ya wananchi kwa kuwa ile nyingine ilikua ya wahindi,raia daraja la pili wakati wa ukoloni,haikua na time na uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…