Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

Habari iwafikie, malalamiko FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2321214
Hii club imekaa kipumbavu sana,haiwezekani kila siku TFF inakuwa inatoa matamko badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
Club imewekeza zaidi kutengeneza chuki za kisenge
asante baba kwa kutonifanya Uto
 
Mikenge hii we acha tyu!
Wanawake sio wanawake!
Nawewe unajifanya mdadafuaji!
Nchi imeingiliwa na Uto huku!
 
Naona uvivu kusoma comments zote (zingine ni upuuzi mtupu)ila jibu la hili swali likitolewa mniamshe niko paleeee nimekaa
 
Yaan utopolo kero ukubwa wenu upo tanzania wee timu hujawahi kucheza caf champions karibu miaka 20 anakujua nani pambana uonyeshe ulichonacho uwanjani kila siku lawama mkichukuwa kombe lawama msipochukuwa lawama yaan viongozi wenyewe hawana nidhamu kuanzia huyo hersi mpk manara mambo manyofanya hata caf wanajua ndio maana hamualikwi badilikeni punguzenj usera mavi nyie utopolo au bado mnatka tuamini wenye akili uko utopoloni wawili tu
 
Hii club imekaa kipumbavu sana,haiwezekani kila siku TFF inakuwa inatoa matamko badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
Club imewekeza zaidi kutengeneza chuki za kisenge
asante baba kwa kutonifanya Uto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Takadini anawapoteza kabisaa viongozi wa utopolooo.
 
Jumamosi tunawatandika simba kama kawa mbele ya rais wa FIFA na CAF.. mark my words . Karia ni mtu mdogo sana nchi hii
 
FIFA wanasema BE POSITIVE.
Tangu lini Utopolo mkawa Positive?

Senzo anasema hapa Tanzania nothing can completed to 100% as planned. Haya maneno kwanini kayasema baada ya kutoka Yanga?
 
Jumamosi tunawatandika simba kama kawa mbele ya rais wa FIFA na CAF.. mark my words . Karia ni mtu mdogo sana nchi hii
Hata last match agaist Simba mliifunga Simba na hamjaenda kwenye kikao cha CAF.
Tofauti ya Simba na Yanga ni kwamba Yanga inapambana kuishusha Simba wakati Simba inapambana upstairs kukuza Brand.

Kwasasa Simba kuifunga Yanga it's not a Story but Yanga kuifunga Simba it's a Story.
Jiulize.
 
Mzee umeandika kwa kufafanua kila kona ya soka na mahitaji ya uhalisia wa kikao hiki.

Lakini mmesahau jambo moja. Kwenye tukio lenu la.majuzi hapa hamkutambua uwepo wa mamlaka ya TFF ambapo mliambia kuoverride maamuzi halali ya shirikisho. Je mna uhalali gani wa kushiriki ama.kualikwa kwenye shughuli za TFF wakati mshaonesha nidhamu mbofu mbofu?

Mlitaka kwenda kuchafua hali ya hewa si bure.

Mkae na viongozi wenu wa klabu muwaelimishe nidhamu ya soka kabla hamjaalikwa kwenye shughuli kama.hiyo iliyowapita pembeni.

Jitambueni kwanza
 
Hii Yanga ya sasa ilitakiwa iwepo wakati TFF ikiitwa FAT chini ya Ndolanga na Rage huku Blatter akiwa rais wa FIFA. Uongozi wa Yanga wa sasa hauendani na hii kasi ya mabadiliko ya dunia.
 
Kama Yanga ingealikwa, Namungo pia angelalamika maana kimataifa yupo rank ya juu kuliko Yanga, nadhan Yanga wanatakiwa kuongeza nguvu kimataifa ili waikute level ya Simba sio kujilinganisha na Simba Kwa kuangalia mafanikio ya ndani Tu. Simba wamealikwa mara kadhaa kwenye mikutano na matukio ya CAF na tena haikufanyikia Tanzania. Na hiyo ni sababu ya mafanikio ya Simba kimataifa

Mpira wa kimataifa upo tofauti Sana, msitegemee mtaalikwa sababu watani wenu wa jadi wamealikwa, Kitendo cha kumtumia manara kwenye tukio la wananchi, kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba, kulalamika bila sababu za msingi ni Alama wazi kwamba Yanga ipo nyuma Sana ya mabadiliko ya soka, bado wapo kwenye mpira wa mwaka 47. Amkeni badilikeni kimtazamo Kwanza kuanzia viongozi, wachezaji na mashabiki pia. Dunia haiwasubiri
 
Kwahiyo inaonekana tatizo la TFF ya karia na Yanga ni back days lile la juzi Arusha ni kile kilikuwa moyoni mwake. Afrika bado tunahitaji wakolonimaana hatuwezi kujiongoza roho mbaya na umimi unasumbua
 
Naliona anguko la TFF ndani ya muda mfupi ujao. Kwa style inavyoongoza mpira nchini itaendelea kufanya kazi ya kujieleza siku hadi siku.
Mimi naliona anguko la Yanga maana ujinga umezidi,awali ujinga ulikwa kwa washabiki lakini sasa ni kwa uongozi wa juu wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…