Aisee ni baadae tu wapigwe yaani wapigweeMshaanza sababu tunataka tuone hao machampion wana return vp yani nyie ndo wakusema Simba alibebwa na corona[emoji849][emoji849]?
Tulia hivo hivo afu tutajua machampion ni wapi[emoji2958][emoji2958]
Mbona mnawapa ujiko hawa wanaijeria?
Hawa lazima wafungwe leo, Yanga ina uwezo kwenye kila angle kushinda hawa wanaijeria.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TFF inavishwa zigo la miba bureKAMA WATAPOTEZA LEO TUTEGEMEE
KUSIKIA KAULI HIZI.
[emoji419]Timu haina muunganiko wa kutosha
[emoji419]wachezaji wapewe mda na mazoezi zaidi
[emoji419]Nabii alichelewesha kufanya sub
[emoji419]Huyu kipa bora ya metacha
[emoji419]Tatizo ITC imewazuia wachezaji wetu
[emoji419] Marefa hawana elimu ya mpira,
[emoji419]Ile ilikuwa offside kabisa
[emoji419] TFF nao inabid walaumiwe
[emoji419] tukienda kwao kufa na kupona
[emoji419]kocha atamtoaje feitoto wakat alikuwa anaupiga mwingi!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji2957][emoji196]
Uto ndo zao yani kuwafikisha eneo la tukio afu wakaharbu shughur imekuwa utamadun kwao ila sasa wajue msimu ujao tutachagua wakubeba make mbeleko zimezd🤣🤣😂Haiwezekan wawakilishi wote wa tz mpaka sasa wamepata ushindi lazma kuna team itazingua hasa hii utopolo hua hawapendi amani kabsa kwa mashabiki zao lazima leo wazingue
Corona ni janga la Dunia nzima na mpira ni mchezo wa wazi,Simba walicheza home & away kwenye viwanja vya wazi tena live.iweje Corona ibebe Simba tu na iache kubeba timu zingine,fafanua?Mshaanza sababu tunataka tuone hao machampion wana return vp yani nyie ndo wakusema Simba alibebwa na corona[emoji849][emoji849]?
Tulia hivo hivo afu tutajua machampion ni wapi[emoji2958][emoji2958]
Aaah ni kama umenipata vibaya jombaa! Uto mwaka jana kipindi Simba inapasua anga champions league ndo zilikuwa sababu zao kwamba corona ndo inawebaba sasa tunataka na wao iwabebe kama ni vyepesi hivoCorona ni janga la Dunia nzima na mpira ni mchezo wa wazi,Simba walicheza home & away kwenye viwanja vya wazi tena live.iweje Corona ibebe Simba tu na iache kubeba timu zingine,fafanua?
Hahaaaa,,nimekupata mkuu.pamoja sana.aaah ni kama umenpata vibaya jombaa! Uto mwaka jana kipindi Simba inapasua anga champions league ndo zilikuwa sababu zao kwamba corona ndo inawebaba sasa tunataka na wao iwabebe kama ni vyepesi hivo
😂 😂 😂KAMA WATAPOTEZA LEO TUTEGEMEE
KUSIKIA KAULI HIZI.
[emoji419]Timu haina muunganiko wa kutosha
[emoji419]wachezaji wapewe mda na mazoezi zaidi
[emoji419]Nabii alichelewesha kufanya sub
[emoji419]Huyu kipa bora ya metacha
[emoji419]Tatizo ITC imewazuia wachezaji wetu
[emoji419] Marefa hawana elimu ya mpira,
[emoji419]Ile ilikuwa offside kabisa
[emoji419] TFF nao inabid walaumiwe
[emoji419] tukienda kwao kufa na kupona
[emoji419]kocha atamtoaje feitoto wakat alikuwa anaupiga mwingi!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji2957][emoji196]