Watajua wenyewe maana hawana adabu kwa kweli sijui watasema nini? Ila itakuwa vizuri wakifungwa kutokana na makosa yao ili wajifunze na wawe na nidhamu na waaache kusajili timu nzima kila mwaka
Huku kwenye mpira bwana tunataniana ila kiukweli wametuuzi kama taifa ilibidi washinde ili tuzidi kusogeza mpira wa nchi yetu viwango vya juu Afrika. Utani wa jadi kukerana kawaida ila wasije ninyima kura kwa huu utani.. na wajirekebishe wanaweza kujipanga vzr mechi ijayo waka piga mtu niwao tu kujipanga kwa hilo[emoji1317][emoji1317]