Kama Yanga itamsajili Chama, hakika ni kufilisika kimkakati

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer.

Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga iingie sokoni kwa kimkakati.

Kusajili players kama kina chama ni dhahiri kuwa hatujajua tunataka kufika wapi, unless lengo letu ni ubingwa wa ndani.
 
Unataka wakusajili wewe!
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainal, basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer

Africa kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz k , Yanga iingie sokoni kwa kimkakati

Kusajili players kama kina chama ni dhahiri kuwa hatujajua tunataka kufika wap , unless lengo letu ni ubingwa wa ndani
 
Ni upuuzi wa Kiwango cha Sgr kusajili chama labda awe show player Kama makudubela alivyojaza nafasi au Yule bigirimana.
Inasaidia nini kusajili chama mchezaji anaeongoza Migomo Huko upande wa pili na hana mchango wowote kuzidi waliopo sasa pale yanga ?
Huyo anaetoa ushauri wachezaji wa kusajili ni gamondi au Ali kamwe ?
 
Ni Manara
 
Chama wa misimu kadhaa iliyopita alikuwa ni mwamba sana tu. Huyu wa sasa kwa kweli ni kama vile akili inataka kufanya kitu awapo uwanjani, ula mwili unamgomea.

Kwa hiyo naunga mkono hoja. Yanga waangalie wachezaji wenye umri mdogo, huku wakiwa na vipaji vikubwa kama Stephen Aziz Kii.
 
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer.

Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga iingie sokoni kwa kimkakati.

Kusajili players kama kina chama ni dhahiri kuwa hatujajua tunataka kufika wapi, unless lengo letu ni ubingwa wa ndani.
Huyo hafai kabisa.
 
Chama wa misimu kadhaa iliyopita alikuwa ni mwamba sana tu. Huyu wa sasa kwa kweli ni kama vile akili inataka kufanya kitu awapo uwanjani, ula mwili unamgomea.

Kwa hiyo naunga mkono hoja. Yanga waangalie wachezaji wenye umri mdogo, huku wakiwa na vipaji vikubwa kama Stephen Aziz Kii.
Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.
 
Nafikiri ni story za romous to hizo. Asije Yanga.
 
Chama ni player asee, ila sio wa kuja yanga .
Uko sahihi, falsafa ya Yanga ni kucheza kwa kasi , kushambulia wote kwa kasi na kukaba wote kwa kasi tena kwa kuchangia , kwa Chama hayo yote hana , iwapo akija Yanga labda iwe kwa show tu kuivuruga Simba ila si kucheza mpira wa Yanga, hauwezi, ule ni mziki mnene .
 
Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.
Naunga mkono hili ila sio kwa Chama kuletwa Yanga, falsafa ya Gamondi ni ngumu sana kwa watu wavivu na waliochoka kwa kutumika sana.
 
Back
Top Bottom