MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Chama ni mchezaji ambaye anacheza ikiwa timu mnaizidi uwezo (mna-posess). Mkikuatana na timu ngumu ambayo haihitaji abiria uwanjani, inahitaji spirit ya mapambano Chama hakupi matokeo.Tukiweka ushabiki pembeniii hakuna mtu ambae hatambuii uwezo wa Chama uwanjani.
Huko Africa tunahitaji spirit na uwezo wa kujitoa, Kama ulivyoona Yanga ilivyocheza na Mamelodi. Kwasababu msuli wa kiuchumi hatuwawezi Mamelodi, Petro na Waarabu.
Yanga ikiingia kwenye upuuzi wa kusajili mastar itapoteza.