Labda Pacome asiwepo.....tukiweka ushabiki pembeniii hakuna mtu ambae hatambuii uwezo wa chama uwanjana
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainal, basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer
Africa kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz k , Yanga iingie sokoni kwa kimkakati
Kusajili players kama kina chama ni dhahiri kuwa hatujajua tunataka kufika wap , unless lengo letu ni ubingwa wa ndani
Ni ManaraNi upuuzi wa Kiwango cha Sgr kusajili chama labda awe show player Kama makudubela alivyojaza nafasi au Yule bigirimana.
Inasaidia nini kusajili chama mchezaji anaeongoza Migomo Huko upande wa pili na hana mchango wowote kuzidi waliopo sasa pale yanga ?
Huyo anaetoa ushauri wachezaji wa kusajili ni gamondi au Ali kamwe ?
Huyo hafai kabisa.Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer.
Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga iingie sokoni kwa kimkakati.
Kusajili players kama kina chama ni dhahiri kuwa hatujajua tunataka kufika wapi, unless lengo letu ni ubingwa wa ndani.
Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.Chama wa misimu kadhaa iliyopita alikuwa ni mwamba sana tu. Huyu wa sasa kwa kweli ni kama vile akili inataka kufanya kitu awapo uwanjani, ula mwili unamgomea.
Kwa hiyo naunga mkono hoja. Yanga waangalie wachezaji wenye umri mdogo, huku wakiwa na vipaji vikubwa kama Stephen Aziz Kii.
Nafikiri ni story za romous to hizo. Asije Yanga.Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.
Hivi ujui Simba na Yanga kwa kukomeshana? Hili sio hata la kushangaaNafikiri ni story za romous to hizo. Asije Yanga.
Uko sahihi, falsafa ya Yanga ni kucheza kwa kasi , kushambulia wote kwa kasi na kukaba wote kwa kasi tena kwa kuchangia , kwa Chama hayo yote hana , iwapo akija Yanga labda iwe kwa show tu kuivuruga Simba ila si kucheza mpira wa Yanga, hauwezi, ule ni mziki mnene .Chama ni player asee, ila sio wa kuja yanga .
Naunga mkono hili ila sio kwa Chama kuletwa Yanga, falsafa ya Gamondi ni ngumu sana kwa watu wavivu na waliochoka kwa kutumika sana.Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.