Kama Yanga itamsajili Chama, hakika ni kufilisika kimkakati

Tukiweka ushabiki pembeniii hakuna mtu ambae hatambuii uwezo wa Chama uwanjani.
Chama ni mchezaji ambaye anacheza ikiwa timu mnaizidi uwezo (mna-posess). Mkikuatana na timu ngumu ambayo haihitaji abiria uwanjani, inahitaji spirit ya mapambano Chama hakupi matokeo.

Huko Africa tunahitaji spirit na uwezo wa kujitoa, Kama ulivyoona Yanga ilivyocheza na Mamelodi. Kwasababu msuli wa kiuchumi hatuwawezi Mamelodi, Petro na Waarabu.

Yanga ikiingia kwenye upuuzi wa kusajili mastar itapoteza.
 
Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.

Ahsante nimeeleweka vema
 
Mchezaji wa Simba anayeweza kuingia kwenye falsafa ya Gamondi ni Kibu minguvu akili kisoda.
 
Ni bora uongozi uende kule kule kwenye kiwanda cha kuzalisha mafundi wa mpira ( Asec Mimosas) kule kuna mali safi nyingi sana kuliko huyu anayeelekea kustaafu.
Mstaafu kafanya yake jana!
 
MAGALONI sijui unateseka ukiwa wapi🤣
 
Huyu Nate ni mwasibu mwingine
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…