Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF
Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali.
Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli.
Na wapinzani wetu walitumia mipira iliyokufa na Kona kutufunga magoli 2 na kuchukua points 3
Leo wachezaji wetu wanaingia kwenye huu mchezo wakina na Hari na nguvu ya upambanaji najua mechi itakuwa ngumu wapinzani wetu ni timu nzuri
Mungu ibariki Yanga mungu ibariki Tanzania
SHABIKI WA YANGA NINAE JIAMINI
tukutane baada ya mechi
NB: Jana Uzi wangu wa simba sc haifiki robo fainal anafungwa magoli 2 ulikuwa trending hapa JF baada ya mechi, mashabiki wa Simba walikuja kunitukana.