Kama Yanga SC Watakubali Ombi lake, Basi Gerrard Mkude Atavaa Medali Msimu Ujao Akiwa Yanga

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nina taarifiwa hapa kuwa Agent wa NunguNungu amekuwa akihaha kutafuta appointment na Viongozi wa Ngazi ya juu wa yanga siku ya leo hasa Rais wa Klabu.

Kinacho msukuma kutaka kuonana na Eng Hersi Siaid ni kauli thabiti kuhusu matamanio ya mteja wake Gerard Mkude ambaye amekuwa akitamani kuweka historia ya kuvaa uzi wa #Wananchi.

Agent huyo amekuwa akipewa majibu ya hovyo na viongozi wa chini, majibu ambayo anayo dai kuwa yanamkatisha tamaa!

"Sasa nataka nizungumze na Hersi moja kwa moja maana hawa wa chini wanasema Kocha mpya ndiye mwenye kufanya mapendekezo ya kusajili, Eti wanasema nije baada Ya wiki moja na Clips za Mkude ili wamuonyeshe Kocha Gamondi l" - Alisema wakala huyo.

"Mteja wangu aligoma kuongeza mkataba kule kwa matarajio kuwa patakuwa na fursa hapa ili amalize soka lake kwa kishindo zaidi." - Aliongezea Bwana wakala.

Binafsi sioni sababu ya kwanini Mkude atamani kumaliza soka lake kwa kishindo cha mafanikio pale yanga ili hali angeweza kungoja ngoja pale Simba ili aapate fursa hiyo. Ameona nini? Mimi na wewe hatujui, huenda ana jicho la tatu ambalo sio kengeu.

Kama Hersi akimkubalia basi huenda Akavaa Medali ya CAF msimu ujao kama wenzake wallivyo fanya msimu ulio pita.
 
aende mashujaa fc au tabira united yanga hakuna nafasi
 
Mwambie ana Taarifa Demu wake aliyempangia Kawe jirani na Mlango mdogo ambaye anashea na akina Nyoni na Tshabalala kagundulika 'Kaukwaa' Umeme Mkali wa Gridi ya Taifa?
 
YANGA KUMSAJILI MKUDE UTAKUWA NI UPUMBAVU WA MWAKA.

kula Angeenda Azam kuongeza Morali ya UBINGWA.......

YANGA kweli vilaza
 
Mbona unaandika huku unalia? Ibrahim Ajib alipokwenda Azzam aliongeza nini?

Mke umemuacha mwenyewe halafu bado unamuonea wivu unampangia aolewe na nani?

Sasa kama mmeanza kuweweseka kwa tetesi basi ujuwe Yanga watamsajili kweli ili muendelee kuteseka.
 
YANGA KUMSAJILI MKUDE UTAKUWA NI UPUMBAVU WA MWAKA.

kula Angeenda Azam kuongeza Morali ya UBINGWA.......

YANGA kweli vilaza
Mkude akiibukia Yanga, sitashangaa, hasa baada ya kuona Haji Manara kaandika maneno meeeeengi kumsifia. Nimepata uzoefu huo, baada ya wakati ule Simba ilipomtema Morrison, na jamaa akaandika maneno mengi kumsifia, mwishoe akaibukia Yanga!
 
Nina taarifiwa hapa kuwa Agent wa NunguNungu amekuwa akihaha kutafuta appointment na Viongozi wa Ngazi ya juu wa yanga siku ya leo hasa Rais wa Klabu.

Kinacho msukuma kutaka kuonana na Eng Hersi Siaid ni kauli thabiti kuhusu matamanio ya mteja wake Gerard Mkude ambaye amekuwa akitamani kuweka historia ya kuvaa uzi wa #Wananchi.

Agent huyo amekuwa akipewa majibu ya hovyo na viongozi wa chini, majibu ambayo anayo dai kuwa yanamkatisha tamaa!

"Sasa nataka nizungumze na Hersi moja kwa moja maana hawa wa chini wanasema Kocha mpya ndiye mwenye kufanya mapendekezo ya kusajili, Eti wanasema nije baada Ya wiki moja na Clips za Mkude ili wamuonyeshe Kocha Gamondi l" - Alisema wakala huyo.

"Mteja wangu aligoma kuongeza mkataba kule kwa matarajio kuwa patakuwa na fursa hapa ili amalize soka lake kwa kishindo zaidi." - Aliongezea Bwana wakala.

Binafsi sioni sababu ya kwanini Mkude atamani kumaliza soka lake kwa kishindo cha mafanikio pale yanga ili hali angeweza kungoja ngoja pale Simba ili aapate fursa hiyo. Ameona nini? Mimi na wewe hatujui, huenda ana jicho la tatu ambalo sio kengeu.

Kama Hersi akimkubalia basi huenda Akavaa Medali ya CAF msimu ujao kama wenzake wallivyo fanya msimu ulio pita.
Nilisikiaga hii ndoto yake kitambo, sijui ni kweli...?
 
YANGA KUMSAJILI MKUDE UTAKUWA NI UPUMBAVU WA MWAKA.

kula Angeenda Azam kuongeza Morali ya UBINGWA.......

YANGA kweli vilaza
Huwezi amini...

Kwenye Gala Dinner ya Jana....

Tyr Again amesema kama Yanga kashika nafasi ya pili CAFCC na wakafurahi, kwanini sisi simba tusifurahi kushika nafasi ya pili kwenye Ligi...?
 
Back
Top Bottom