Kama yasemwayo yamo, mamlaka husika mnangoja nini?

Kama yasemwayo yamo, mamlaka husika mnangoja nini?

B.kuchaga

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
8
Reaction score
1
"Ajira za ualimu mwisho mwaka huu, labda wa sayansi"...Naam, ni uvumi ambao umeenea sana katika maeneo mbalimbali hasa vyuoni na kwenye social media mbalimbali. Ni nyepesi nyepesi ambazo sio tu zinaathiri saikolojia ya vijana wetu walioko vyuoni lakini pia watoto wa wakulima ambao kwa muda mrefu walitegemea mchepuo huu katika kujitafutia ajira za uhakika. Hata kama taarifa hizi ni sahih au sio sahihi, kuna ulazima wa mamlaka husika kujitokeza hadharan ili kuzithbitisha au kuzikanusha. Hii itawasaidia hata wale ambao wanatarajia kujiunga na vyuo hapa karibuni kufanya maamuz sahihi ambayo hawatayajutia katika maisha yao
 
Back
Top Bottom