Kama zilivyo taasisi nyingine, kwanini TRA wasifungue duka au biashara ili wawe mfano tujifunze kwao?

Kama zilivyo taasisi nyingine, kwanini TRA wasifungue duka au biashara ili wawe mfano tujifunze kwao?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tuna taasisi za serikali zimefanya biashara kuonesha uwezo wao mfano magereza,JWTZ,wanyama pori na n.k.

Hapa kwa upande TRA tunaitaji na nyie muanzishe biashara au maduka yenu ili muwe mfano bora.

Hata mkiwa kwenye vyombo vya habari mnaweza kutoa mifano ya biashara zenu au maduka.
 
Hawawezi! Wanajua ugumu uliopo kusimamia biashara ni basi tu wanajitoa ufahamu kuwabana wafanyabiashara
 
Hakuna faida yoyote sababu wewe mwananchi huwezi kujua kama wameingia hasara au faida mpaka wao wapende. Ni rahisi kutumia kodi zako hizo kuiweka biashara yao kuwa inaingiza faida ili wawafurahishe.
 
Back
Top Bottom