Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo.
Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio hai.
Kauli ya bwana zitto inakuja ikiwa haijapita hata siku tatu tangu Samia aiseme kauli husika. This means kwa sasa Zitto na Samia wana jambo lao! Na probably jambo lenyewe ni kushindana na maiti ya Magufuli. Na definately mission yao ya pamoja ni ya kuifuta kabisa legacy ya Magufuli ndiyo maana juzi Zitto in advance alishare post ya Luqman Maloto akionesha ilivyofutwa legacy ya Rais wa Urusi. Hawafanyi bahati mbaya, they plan wakidhani hatuelewi.
Yes wanaweza kujaribu ila trust me ili legacy ya JPM ipotee labda binaadamu aanze kutembelea kichwa badala ya miguu.
Wanapanga kuifuta legacy ya Magufuli kwa kuwa Magufuli alipokuwa hai
1. Alishawafungua macho watanzania kuwa Taifa lao siyo masikini bali Tajiri ambalo linaweza kujiendesha lenyewe. Magufuli alizitumia ipasavyo rasilimali za Tanzania kuijenga Tanzania.
Uhalisia katika jambo hili ni kuwa kwa kuwa Samia hana guts za kudeal na mafisadi, wala rushwa na wahujumu uchumi anashirikiana na Zitto na baadhi ya wanasiasa kuichafua na kuifuta legacy ya Magufuli kwa lengo la kuhalalalisha kutafuta mikopo. Mbinu yao ni kwamba ili Samia akope tena sana ni lazima aoneshe kuwa Magufuli naye alikopa, tena siyo kukopa bali kukopa kwa makosa.
2. Magufuli kabla ya kutangulia mbele za haki alishawafungua macho watanzania kuhusu miradi isiyo na tija kwa Taifa.
Kwa hiyo ili kuruhusu uanzishwaji wa miradi hii ya kipumbavu yenye masharti ya kijingakijinga na isiyo na maslahi kwa Taifa kama ule wa Bandari ya Bagamoyo ambayo mmoja wa wapambe wake ni zitto ni lazima kuikwamisha maksudi miradi aliyoianzisha JPM kuwaonesha watanzania kuwa miradi ya Magufuli imekwama kwa kisingizio cha mikopo.
Itafakari kwa kina point namba mbili hapo juu kwa kuwaza yafuatayo;
i) Samia kaongea juzi kuhusu Magufuli kukopa
ii) Zitto kaongea jana kuhusu Magufuli kukopa na kuongeza kuwa Magufuli alikuwa Muongo
ii) Leo Taifa linajulishwa kuhusu development ya majadiliano ya mradi wa bandari ya Bagamoyo.
Hawa watu wanadhani watanzania ni wajinga na hawaelewi kinachoendelea.
Kwa lugha nyepesi ni wajibu wa kila mzalendo kuitetea Legacy ya JPM kwa gharama yoyote. Na wakati tukiendelea kuitetea Legacy ya jemedari wetu Samia aelewe kuwa watanzania wana mashaka na kifo cha Rais Magufuli hivyo aruhusu uchunguzi huru ili mashaka hayo yaondoke.