Kamaanisha alichoimba, sio fake: DOGO JANJA: IMANI

Sasa logic ya kuvua boxer na kuvaa majani yA mgomba ni ipi?
Labda anamaanisha kurudi Edeni ambako tafsiri yake ni kuwa hata kama mume au mke akikosea bado watafukuzwa na Mungu na kuondoka wote bila mmoja kati yao kumuacha mwenzake hata kama amemkosea (rejea biblia takatifu)
 
Kulikon tena kwa dogo janja au ndyo kupagawa na mapenzi?
 
Yaan mm hadi leo huwa siamin kama hao watu walioana...na kama kwel bas Janjaro pole nyingi ziende kwakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…