Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Bila shaka atarudi kwenye dini yake,maana lengo la kubadili dini litakuwa limeishaBibie alibadili dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka atarudi kwenye dini yake,maana lengo la kubadili dini litakuwa limeishaBibie alibadili dini
Labda anamaanisha kurudi Edeni ambako tafsiri yake ni kuwa hata kama mume au mke akikosea bado watafukuzwa na Mungu na kuondoka wote bila mmoja kati yao kumuacha mwenzake hata kama amemkosea (rejea biblia takatifu)Sasa logic ya kuvua boxer na kuvaa majani yA mgomba ni ipi?
Bdo ana imani.Kwani nani aliyemfosi akaoe janamke lenye umri sawa na mamaye?? Apambane na hali yake
Waongo sana waswahili.hahaa kumbe huwa wanadanganya ""!!?
Dogo nae kazingua,angetia mimba fasta tu sasa hivi wangekuwa wanalea.
Duh..hahaha kwaiyo anafika 40 yule?Wanawake wa miaka 40 huwa hawapati mimba, inatokea mara chache sana.
imani mkuuSasa logic ya kuvua boxer na kuvaa majani yA mgomba ni ipi?
Hata mi nmechangaa, video hata sijaielewa sijui ndo kuchanganyikiwaSasa logic ya kuvua boxer na kuvaa majani yA mgomba ni ipi?
😂😂😂😂ndo shida yakukurupukia mishangazi..
Mimi nilidhani ni kweli SINDANO NDOGO,INASHONA MAKOTI,kumbe wapi banaaaa.
Ha ha ha,n8litaka kushangaa maana JAHAZI LA TANGA HALIENDI BILA UPEPOMama mkubwa yule, Itakua alikua hamfikishi vizuri tu
Dogo nae kazingua,angetia mimba fasta tu sasa hivi wangekuwa wanalea.
Ila Dogo si walikuwa wanasema ni mwanaume mashine,nikajua labda ndio maana Bibi akanogewa.Dogo Hapigi bomba vizuri itakua tu