Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
nicwe mnafki hili pini lenye ladha ya "Gospel ya kutia moyo", Dogo janja kachanja mle mle kiukweli, Kaimba kwa hisia za kweli kabisa zinazotokana na wakati mgumu anaoupitia kwenye maisha yake.
maisha yana changamoto sana kiukwel jipe moyo ipo siku yataisha
Kwenye akili iliyojaa stress za Irene Uwoya, Dogo janja katumia kipaji chake kutupa wimbo unaofundisha na unaotupa moyo wa kutokataa tamaa. Pia melody kaipatia bila kusahau mixing imefanywa kiwango cha kinachoridhisha
Story ya VIDEO YA IMANI.. Nafikiri watu wanatakiwa waelewe story ilivyokua katika huu wimbo, “Mpaka kufikia yule mwanadamu anavua vitu vyake vya thamani anabakia na migomba tu isiyokua na thamani kwenye mwili wake.. Yule ni mtu ambae ana shida nyingi sana zinamsumbua kichwani kwake “Kazini” “Mapenzi” “Familia” “Marafiki” kwaiyo mwisho wa siku anaona bora atokomee sehemu yoyote mbali ambapo anakua haonani na mtu yoyote ambae anajuana nae, Lakini wakati anatembea kwa miguu Anachoka ule uchovu unamfanya anafikia hatua ya kulala sehemu yoyote ile, kwa bahati nzuri au mbaya anaamua tu bora “AJIUE,AFE” yaani asiwepo tena dunian😥 Anaamua kwenda kulala kwenye reli ili Treni ikipita imkanyage na asiwepo tena dunian😌... bahati nzuri MWENYEZI MUNGU bado anatamani huyu bwana aendelee kuishi hadi inafika Asubuhi hakuna hata Treni ambayo imepita kwaiyo anajikuta bado mzima, anashangaa.. kwaiyo anakasirika kwanini mimi bado mzima??? Siipendi hii DUNIA lakin naona bado inanifata fata.. kwaiyo sasa anaamua kuvua vitu vyake vya thamani kuanzia NGUO ambazo zilikua na thamani ya juu “SUIT” akavua vitu vyote saa,cheni..boxer ili abaki mtupu kwa sababu anaamini akiwa mtupu DUNIA itakua inamshangaa, wakati dunia inamshangaa na yeye ndipo atapopata nafasi ya kuendelea na maisha mengine sehemu nyingine..kwaiyo anavua vitu vyake anava “MIGOMBA” ambayo haina thaman anaanza kutokomea, anatokomea sehemu ambayo anakutana na kijiji ambacho anakutana na watu ambao hawamjui ametokea wapi? Wanamshangaa 😳 anatokomea porini anakutana na wanyama “NGAMIA” anatokomea tena porini anakutana na “MASHAMBA” kwaiyo mwisho wa siku inabaki ile Tafsiri yake “YEYE AMEICHOKA DUNIA,AMECHOKA VITU VILIVYOMO KWENYE DUNIA KAMA VITU VYA THAMANI” MARAFIKI,MAPENZI,FAMILIA... kwaiyo anaamua a-Disappear aondoke ambapo ye anazania anapoenda ndio kutakua na amani ya nafsi yake,lakini akiwa hana kitu chochote ambacho kitakua kinamsumbua duniani
So Ni IMANI ambayo yeye yuko nayo lakini mwisho wa siku tunasema TUNAPITIA, Na kila mtu ANAPITIA ups and down vitu vya kawaida sana ukiwa na imani