Kamala Harris aahidi kuendelea kuilinda Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.

Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.

Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.

Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.

.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.

“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.

“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
 
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.

Mzee acha kutumia hisia habari za Mungu baki nazo wewe kuilinda Israel ni sera ya marekani kama taifa sawa tu na China kuilinda North Korea hayo mambo ya Mungu baki nayo wewe mwenyewe dunia haihitaji huruma.

Israel kazungukwa na waarabu lakini wapumbavu angalau Iran ambaye sio mwarabu anaji tutumua kumpa changamoto nzito Israel ila hao wengine waarabu wanachoweza ni unafiki.
 
Sera za kishetani na zitawaangamiza wote pamoja.Shetani hana urafiki wa kudumu

HIYO NI SERA MADHUBUTI KUPINGANA NA USHETANI AMBAO UNGEKUWA UNAFANYIKA HUKO NA MAGAIDI. MI NAONA WAKO SAWA. ISRAEL INAZUNGUKWA NA MAADUI WENGI SANA. INAPASWA ILINDWE NI TAIFA LENYE HISTORIA YA KIPEKEE. NIKIKUMBUKA 6 DAY WAR. NAONA KWELI HAWA JAMAA SI WA KAWAIDA. WALINDWE TU. MAYAHUDI NA MAARABU HAYAWEZI PATANA. WACHA WATIANE ADABU. KAMALA NIMEMKUBALI SANA HUYU MAMA.
 
Nyie mnaangalia idadi wapalestina kuuawa ila hamuangalii idadi ya wayahudi kuuawa na hamas october 7 na mateka waliouawa na hamas kwa makusudi
 
Sera za kishetani na zitawaangamiza wote pamoja.Shetani hana urafiki wa kudumu
Hayo mambo ya kishetani baki nayo wewe mwenyewe ni sawa tu na CCM kuiba kura au kusalia madarakani kwa namna yoyote ile hiyo ni sera yao pasipo kujali matendo gani wanafanya waendelea kusalia dunia hii haina huruma na watu dhaifu
 
Mzee acha kutumia hisia habari za Mungu baki nazo wewe kuilinda Israel ni sera ya marekani kama taifa sawa tu na China kuilinda North Korea hayo mambo ya Mungu baki nayo wewe mwenyewe dunia haihitaji huruma.

Israel kazungukwa na waarabu lakini wapumbavu angalau Iran ambaye sio mwarabu anaji tutumua kumpa changamoto nzito Israel ila hao wengine waarabu wanachoweza ni unafiki.
Sehemu ya pili umesema sawa.Lakini mwanzoni kwamba tuachane na Mungu ni ujinga mkubwa sana.Mungu ndiye anayeiendesha dunia na watu madhalimu hupata nguvu muda fulani kama mtihani kwao lakini baadae huwapokonya nguvu hizo na kuwapa walio wanyonge.
Israel kwa mwendo huu inaelekea kupigwa na watu wadogo wadogo na bila huo umoja wa waarabu.
 
Hayo mambo ya kishetani baki nayo wewe mwenyewe ni sawa tu na CCM kuiba kura au kusalia madarakani kwa namna yoyote ile hiyo ni sera yao pasipo kujali matendo gani wanafanya waendelea kusalia dunia hii haina huruma na watu dhaifu
Vitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watu
 
Mashetani nyie mnaotumia udini kuua watu wasio na hatia
Watu 41000 waliokwishakuuliwa Gaza wameuliwa kwa sera gani ?
Umoja wa mataifa umesema asilimia karibu 80 waliouliwa ni watoto na wanawake.Hao wana hatia gani?
 
Vitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watu
Watu 6 imekuuma hivyo wakati kila siku Israel inaua baina ya 50 na mia moja.
 
Sehemu ya pili umesema sawa.Lakini mwanzoni kwamba tuachane na Mungu ni ujinga mkubwa sana.Mungu ndiye anayeiendesha dunia na watu madhalimu hupata nguvu muda fulani kama mtihani kwao lakini baadae huwapokonya nguvu hizo na kuwapa walio wanyonge.
Israel kwa mwendo huu inaelekea kupigwa na watu wadogo wadogo na bila huo umoja wa waarabu.
Wewe endelea na habari za Mungu mungu huku wapalestina wakizidi kuangamizwa sasa sijui huyo mungu wako kajificha ? Unajua mwenyewe
 
Vitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watu
HAMAS si sawa na hayo makundi uliyo andika vitu viwili tofauti
 
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.
.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.
“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.

“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
Kobas huwa mna matizo ya akili, hii kugusa gusa ardhi kutwa mara 5 imeathiri bongo zenu.

Hamna utimamu wa akili, mko kama nabii Tito
Maghayo
 
Wewe endelea na habari za Mungu mungu huku wapalestina wakizidi kuangamizwa sasa sijui huyo mungu wako kajificha ? Unajua mwenyewe
Mungu usitie shaka yupo pamoja nao daima.Huu ni mtihani kwa anayeuwa na anayeuliwa na wanaoangalia.
Kufa inauma sana lakini ni kwa sisi binadamu kwa Mungu ni kitu cha kawaida.Tumepewa fursa za sisi kufuzu mitihani yetu.
Hamas mpaka sasa wamefuzu pakubwa na Israel na Marekani pamoja na waarabu na waislamu wamefeli moja kwa moja.
 
HIYO NI SERA MADHUBUTI KUPINGANA NA USHETANI AMBAO UNGEKUWA UNAFANYIKA HUKO NA MAGAIDI. MI NAONA WAKO SAWA. ISRAEL INAZUNGUKWA NA MAADUI WENGI SANA. INAPASWA ILINDWE NI TAIFA LENYE HISTORIA YA KIPEKEE. NIKIKUMBUKA 6 DAY WAR. NAONA KWELI HAWA JAMAA SI WA KAWAIDA. WALINDWE TU. MAYAHUDI NA MAARABU HAYAWEZI PATANA. WACHA WATIANE ADABU. KAMALA NIMEMKUBALI SANA HUYU MAMA.
Huwezi kuwa na maadui kila upande isipokuwa wewe ni mbaya na umewafanyia dhulma majirani zako wote.
 
Back
Top Bottom