Kamala Harris aahidi kuendelea kuilinda Israel

Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.
.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.
“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.

“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
 
Attachments

  • 1723046172499.jpg
    1723046172499.jpg
    325.1 KB · Views: 4
HAMAS si sawa na hayo makundi uliyo andika vitu viwili tofauti
Utofauti wa hamas na hayo makundi ni hamas wanajificha kwenye miundombinu ya kiraia kama haspital, shule, misikiti nyumba za raia na wanavaa kiraia kipindi cha mapigano
 
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.

Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.

Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.

Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.

.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.

“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.

“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
Sijui huwa wanapewa nini usipoiyetetea israle ni kama huna chako
 
Utofauti wa hamas na hayo makundi ni hamas wanajificha kwenye miundombinu ya kiraia kama haspital, shule, misikiti nyumba za raia na wanavaa kiraia kipindi cha mapigano
Mayahudi wao hawatoki kifua mbele kuwafuata Hamas.Huwa wanajificha kwenye vifaru na huwa wanaruka juu sana.
Taliban na Houth wanajificha ndani ya milima inayowazunguka.
 
Back
Top Bottom