Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.

Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.

Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.

Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.

Aisee unajua sikujua kama huyu ni mweusi pia, kumbe baba yake alikua mtu mweusi wa jamaika ila light skin...mama muhindi! Pure definition of diversity in the is politics...
 
Sio racism [emoji2] leo wewe ndg yangu ukiwa wazir tusem unatokana na kabila la watongwe ambao hata nyumba10 bado, wao wataimba Wazir ni mtongwe japo baba yako ni Mkurya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo weusi upo wapi halafu kitu ambacho watu huwajui ni kuwa watu weusi waliozaliw amerika wanaheshimika zaidi kuliko sisi waafrika sioni haja yakuendelea kutangaza sana ionekane ni mtu mweusi wakati hana asili ya kiafrika
 
Mkuu ndio umeandika nini?
Unasemaje hana asili ya Afrika?
Baba yake mtu mweusi wa asili ya Afrika.
Huo weupe kwa mbali ni uhindi wa mama yake.

Huyo ni Kama Muhammed Ali au Obama.
 
Mkuu ndio umea dika Nini?
Unasemaje Hana asili ya Afrika?
Baba yake mtu mweusi was asili ya Afrika.
Huo weupe kwa mbali ni uhindi wa mama yake.

Huyo ni Kama Muhammed Ali au Obama.
Huyo baba yake mmarekani mweusi sio muafrika
 
Back
Top Bottom