Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

Mweusi mwenye asili ya Afrika yaani African American.
Hapa unataka kuleta ubishi tu.
Watu weusi wa Jamaica na America wametoka Afrika siyo Australia wale Aboriginals au wahindi weusi.

Tuache ubishi wa kitoto kama wa kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda.
Kwani kachaguliwa kwa ajili ya weusi wake ?

Kama hakuchaguliwa kwa ajili ya weusi wake sasa mambo ya weusi yanakujaje hapa yanafaida gani ?
 
Kwani kachaguliwa kwa ajili ya weusi wake ?

Kama hakuchaguliwa kwa ajili ya weusi wake sasa mambo ya weusi yanakujaje hapa yanafaida gani ?
Wala hoja yangu haikuwa weusi au weupe wake.

Mimi nilikuwa namwelekeza mdau kwani wanamuita mtu mweusi au marekani mwenye asili ya Afrika (African American).
 
Back
Top Bottom