EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Sio mweusi tu pia sema na mhindi. Yani waafrika wameshaanza kuleta racism wenyeweKamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.
Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
ni hatari, kipindi hiki chief, watu wamecharuka U. SKumbe hadi Ilhan kashinda
Naona Trump watu hawampendi kabisa
Ndio hivyo chiefKumbe hadi Ilhan kashinda
Naona Trump watu hawampendi kabisa
Aisee unajua sikujua kama huyu ni mweusi pia, kumbe baba yake alikua mtu mweusi wa jamaika ila light skin...mama muhindi! Pure definition of diversity in the is politics...Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.
Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
Origin chief, kama Obama
Obama ni MkenyaOrigin chief, kama Obama
Mzee said mohamed atatupa updates hizo.Waislam 12 wameshinda u mayor pia nasikia
Hana uafrika wowote ule ni vile tu waafrica tunapenda shobo.Wanaosema huyu mama ni Mwafrika nawashangaa si mzungu kabisa huyu tena pisi kali.
Mkuu ndio umeandika nini?Huo weusi upo wapi halafu kitu ambacho watu huwajui ni kuwa watu weusi waliozaliw amerika wanaheshimika zaidi kuliko sisi waafrika sioni haja yakuendelea kutangaza sana ionekane ni mtu mweusi wakati hana asili ya kiafrika
Huyo baba yake mmarekani mweusi sio muafrikaMkuu ndio umea dika Nini?
Unasemaje Hana asili ya Afrika?
Baba yake mtu mweusi was asili ya Afrika.
Huo weupe kwa mbali ni uhindi wa mama yake.
Huyo ni Kama Muhammed Ali au Obama.
Mweusi mwenye asili ya Afrika yaani African American.Huyo baba yake mmarekani mweusi sio muafrika
Hata huku bongo watu walicharuka sema tu ujambazi umetumika kupindua meza. Huu mwaka ulikuwa ni wa mageuzi makubwa sana kisiasa ulimwenguni.ni hatari, kipindi hiki chief, watu wamecharuka U. S