Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

Kwani kachaguliwa kwa ajili ya weusi wake ?

Kama hakuchaguliwa kwa ajili ya weusi wake sasa mambo ya weusi yanakujaje hapa yanafaida gani ?
 
Kwani kachaguliwa kwa ajili ya weusi wake ?

Kama hakuchaguliwa kwa ajili ya weusi wake sasa mambo ya weusi yanakujaje hapa yanafaida gani ?
Wala hoja yangu haikuwa weusi au weupe wake.

Mimi nilikuwa namwelekeza mdau kwani wanamuita mtu mweusi au marekani mwenye asili ya Afrika (African American).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…