Kamala Harris amkosoa vikali Trump juu ya uvamizi wa Marekani huko Venezuela

Yeah ni sahihi kabisa me nachukia sana nikiona wanaume wameitwa kipindi cha dadaz pale eatv na wanaenda kukaan wale washambenga wakiwateta wanaume wenzao
Mimi nilimzaba vibao jamaa mmoja aliyealikwa kwenye kipindi cha kwenye kipindi cha 'Mama mia' kilichokuwa kinarushwa pale East Africa Radio, kisa alikuwa anawasema vibaya wanaume.
 
Hutakaa usikie kwamba ametekwa na watu wasiojulikana, hiyo ndio tofauti ya mzungu na mswahili na ndio maana kimaendeleo wao wako hapo walipo na sisi ndio maana tupo hapa tulipo.
 
Mimi nilimzaba vibao jamaa mmoja aliyealikwa kwenye kipindi cha kwenye kipindi cha 'Mama mia' kilichokuwa kinarushwa pale East Africa Radio, kisa alikuwa anawasema vibaya wanaume.
Hivi mwanaume unaanzaje kupambania haki za wanawake

Na kwasasa dunia ilipofikia mwanaume ndo anayelaumiwa kwa kila kitu na kizazi kinazidi kupungua cha wanaume let's seee itakuwaje
 
Abaki kimya tena atulie kama maji kwenye mtungi!, kazi ya wanaume haihitaji mipasho,wasichana wala wavulana.
 
Aende jikoni akapike akimaliza aioshe, ili mmewe aje aichape vizuri
 
Makamu wa Rais mstaafu wa Marekani, bibie Kamala Harris amesema Donald Trump ameivamia Venezuela sio kwasababu ya kutokuwa na demokrasi au biashara ya madawa ya kulevya bali ni kuhakikisha wanatwaa mafuta yaliyopo Venezuela.

Maoni hayo yameibua hisia tofauti huko kwenye mtandao wa x zamani twitter, wengi wakimkosoa mwanamama huyo.
================================================

Donald Trump’s actions in Venezuela do not make America safer, stronger, or more affordable.

That Maduro is a brutal, illegitimate dictator does not change the fact that this action was both unlawful and unwise. We’ve seen this movie before. Wars for regime change or oil that are sold as strength but turn into chaos, and American families pay the price.

The American people do not want this, and they are tired of being lied to.

This is not about drugs or democracy. It is about oil and Donald Trump’s desire to play the regional strongman. If he cared about either, he wouldn’t pardon a convicted drug trafficker or sideline Venezuela’s legitimate opposition while pursuing deals with Maduro’s cronies.

The President is putting troops at risk, spending billions, destabilizing a region, and offering no legal authority, no exit plan, and no benefit at home.

America needs leadership whose priorities are lowering costs for working families, enforcing the rule of law, strengthening alliances, and — most importantly — putting the American people first.
Lakini hatatekwa wala kufungwa
 
Huyu nae atulie apigwe uboo na mume wake, abaki kujenga familia na sio nchi.
 
Tuombee Marekani iendelee kuwa Taifa kenye nguvu kuliko yote. Mataifa yote yakiwa na nguvu sana, wababe wapuuzi aakijitokeza kuwaua watu wao, kunakuwa hakuna wa kuwadhibiti. Lazima tuwe na mkuu kuliko wote mwenye kuoenda haki, ambaye anaweza kudhibiti Serikali na watawala dhulumati.

Hongera sana Marekani, hongera sana Trump. Huyo Harris ni mpiga porojo. Mungu awabariki Wamarekani waliogundua kuwa huyu mama hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa. Sisi huku tunajutia kumpa uongozi mkubwa mwanamke mpiga vijembe ambaye amegeuka na kuwa muuaji wa ajabu.
Mungu fundi sana kuifanya USA super power kwenye hii dunia.
N USA pekee ndie anayeleta usawa wa kiusalama kwenye hii dunia, bila USA dunia ingekuwa dunia ya kipumbavu sana
 
Huyu mama ni ndumilakuwili.

Hii ilikuwa mwaka 2023.

20260104_135245.jpg
 
Makamu wa Rais mstaafu wa Marekani, bibie Kamala Harris amesema Donald Trump ameivamia Venezuela sio kwasababu ya kutokuwa na demokrasi au biashara ya madawa ya kulevya bali ni kuhakikisha wanatwaa mafuta yaliyopo Venezuela.

Maoni hayo yameibua hisia tofauti huko kwenye mtandao wa x zamani twitter, wengi wakimkosoa mwanamama huyo.
================================================

Donald Trump’s actions in Venezuela do not make America safer, stronger, or more affordable.

That Maduro is a brutal, illegitimate dictator does not change the fact that this action was both unlawful and unwise. We’ve seen this movie before. Wars for regime change or oil that are sold as strength but turn into chaos, and American families pay the price.

The American people do not want this, and they are tired of being lied to.

This is not about drugs or democracy. It is about oil and Donald Trump’s desire to play the regional strongman. If he cared about either, he wouldn’t pardon a convicted drug trafficker or sideline Venezuela’s legitimate opposition while pursuing deals with Maduro’s cronies.

The President is putting troops at risk, spending billions, destabilizing a region, and offering no legal authority, no exit plan, and no benefit at home.

America needs leadership whose priorities are lowering costs for working families, enforcing the rule of law, strengthening alliances, and — most importantly — putting the American people first.
The outcome of accidentally doing the right thing is still positive!
 
Back
Top Bottom