Kamala Harris amkosoa vikali Trump juu ya uvamizi wa Marekani huko Venezuela

Yeah ni sahihi kabisa me nachukia sana nikiona wanaume wameitwa kipindi cha dadaz pale eatv na wanaenda kukaan wale washambenga wakiwateta wanaume wenzao
Mimi nilimzaba vibao jamaa mmoja aliyealikwa kwenye kipindi cha kwenye kipindi cha 'Mama mia' kilichokuwa kinarushwa pale East Africa Radio, kisa alikuwa anawasema vibaya wanaume.
 
Hutakaa usikie kwamba ametekwa na watu wasiojulikana, hiyo ndio tofauti ya mzungu na mswahili na ndio maana kimaendeleo wao wako hapo walipo na sisi ndio maana tupo hapa tulipo.
 
Mimi nilimzaba vibao jamaa mmoja aliyealikwa kwenye kipindi cha kwenye kipindi cha 'Mama mia' kilichokuwa kinarushwa pale East Africa Radio, kisa alikuwa anawasema vibaya wanaume.
Hivi mwanaume unaanzaje kupambania haki za wanawake

Na kwasasa dunia ilipofikia mwanaume ndo anayelaumiwa kwa kila kitu na kizazi kinazidi kupungua cha wanaume let's seee itakuwaje
 
Abaki kimya tena atulie kama maji kwenye mtungi!, kazi ya wanaume haihitaji mipasho,wasichana wala wavulana.
 
Aende jikoni akapike akimaliza aioshe, ili mmewe aje aichape vizuri
 
Lakini hatatekwa wala kufungwa
 
Huyu nae atulie apigwe uboo na mume wake, abaki kujenga familia na sio nchi.
 
Mungu fundi sana kuifanya USA super power kwenye hii dunia.
N USA pekee ndie anayeleta usawa wa kiusalama kwenye hii dunia, bila USA dunia ingekuwa dunia ya kipumbavu sana
 
The outcome of accidentally doing the right thing is still positive!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…