Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya kampeni zake hivi karibuni kajaribu kubadili lafudhi yake aongee lama wamarekani weusi ila aliumbuka, yote hii ni kutaka kuonekana ni black american
Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara mwenye mchanganyiko wa mhindi, mzungu na Jamaican.
Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,
Kamala Harris karithi zaidi DNA ya kihindi, ukimutazama tu uso wake waweza dhani ni ndugu yake Sunak
Kamala Harris aliishi zaidi na mama yake na wahindi wengine, mitaa ya wahindi nchini Canada, Mara nyingi kasafiri kwenda India, watu wake wa karibu zaidi ni wahindi ukiachana na mme wake mzungu.
Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi mwaka 2016
View: https://x.com/MJTruthUltra/status/1815943914668339576
Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa
Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.