View attachment 3064600
View attachment 3064591
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya kampeni zake hivi karibuni kajaribu kubadili lafudhi yake aongee lama wamarekani weusi ila aliumbuka, yote hii ni kutaka kuonekana ni black american
Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara wa Jamaica na Ireland , Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,
Kamala Harris karithi zaidi DNA ya upande wa mama kwa asilimia 75%, hivyo ni mhindi zaidi, ukimutazama tu uso wake waweza dhani ni ndugu yake Sunak
Kamala akiwa bado mtoto miaka ya 70 wazazi wake waliachana, Aliishi na mama yake na ndugu zake wa kihindi, likizo nyingi walisafiri kwenda India.
Amekuzwa Canada kwenye mitaa ya wahindi, hajakulia mitaa ya wamarekani weusi
Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi na hakuafiki.
Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa
View attachment 3064607
Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.
View attachment 3064653
View attachment 3064602
View attachment 3064652
View attachment 3064654