Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya kampeni zake hivi karibuni kajaribu kubadili lafudhi yake aongee lama wamarekani weusi ila aliumbuka, yote hii ni kutaka kuonekana ni black american

Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara mwenye mchanganyiko wa mhindi, mzungu na Jamaican.



Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,



Kamala Harris karithi zaidi DNA ya kihindi, ukimutazama tu uso wake waweza dhani ni ndugu yake Sunak



Kamala Harris aliishi zaidi na mama yake na wahindi wengine, mitaa ya wahindi nchini Canada, Mara nyingi kasafiri kwenda India, watu wake wa karibu zaidi ni wahindi ukiachana na mme wake mzungu.

Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi mwaka 2016


View: https://x.com/MJTruthUltra/status/1815943914668339576


Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa

Your browser is not able to display this video.

Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.





 

Attachments

  • 1723159772817.png
    124.4 KB · Views: 4
Popo ni ndege au mnyama? Kwa sababu anaweza kupaa angani kama ndege hakumfanyi yeye anayenyonyesha, aliye na meno na kuzaa watoto wazima aitwe ndege.
 
Kura wakati fulani hazina kanuni kwani kwenye uchaguzi wa 2016 Hillary Clinton aliongoza kura za maoni mpaka mwisho lakini mwisho wa siku Trump ndio aliibuka mshindi.

Sio it's very unpredictable.
 
Kura wakati fulani hazina kanuni kwani kwenye uchaguzi wa 2016 Hillary Clinton aliongoza kura za maoni mpaka mwisho lakini mwisho wa siku Trump ndio aliibuka mshindi.

Sio it's very unpredictable.
Media zimeingiliwa na vyama vya siasa, kura za maoni hazina maana sikuhizi..

Cnn ni democrats, kura za maoni nyingi wanawapendelea Democrats, Uhalisia ni kwamba kwa sasa Trump yupo mbali mno.
 
Ni sawa na bongo ili upate uongozi ni lazima uunge mkono muungano wa Tanzania na Zanzibar 😂
Siasa ni akili tuu, mtu unabadilika rangi chap tuu kutoka white to black
 
Kama baba yake ni mjamaica mbona mmempa asilimia chache akati kwa baba ndio asili ya mtoto
 
Kama baba yake ni mjamaica mbona mmempa asilimia chache akati kwa baba ndio asili ya mtoto
Kuna watoto wanarithi zaidi dna za mzazi flani
 
Huyu Dk. Umar si Mwislamu? Kama ni hivyo HAWEZI kumuunga mkono mwenye asili ya India. Lakini maana yeye ana asilimia 25 za Uafrika uliotaja, kwanini mnamkataa kuwa sio Mwafrika?
 
Huyu Dk. Umar si Mwislamu? Kama ni hivyo HAWEZI kumuunga mkono mwenye asili ya India. Lakini maana yeye ana asilimia 25 za Uafrika uliotaja, kwanini mnamkataa kuwa sio Mwafrika?
Umar Johnson ni Mkristo.

Sio suala la dini, Wamarekani weusi wengi wanamkataa Kamala Harris sio mmarekani mweusi bali ni mhindi wa Canada
 
Hizo DNA hakuna issue in reality mtoto anachukua jina la baba na ukabila wa baba
Ishu ni kwamba

-Harris kaishi Canada mitaa ya kishua ya wazungu, hajaishi mazingira ya wamarekani weusi.
-Kaishi na wahindi upande wa mama yake, hajaishi na black amaricans
-Ana muonekano wa kihindi sababu dna ni 75% indian
-kakiri mara nyingi yeye ni muhindi, kaanza kujiita mwesi hivi karibuni

Simply put, Kamala Harris ni Canadian Indian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…