Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

Yoda Mathanzua Nyani Ngabu Mag3 Kichuguu
 
Obama hata kabla ya siasa aliji identify zaidi kama Black American, Harris hata alipokuwa Senator alijitambulika kama first indian senator, Mara paap kawa kama kinyonga anajiita black american, Juzi hapo kafosi kuongea kwa lafudhi wanayotumia black amaericans kageuka kuwa kituko,
 
Umar Johnson ni Mkristo.

Sio suala la dini, Wamarekani weusi wengi wanamkataa Kamala Harris sio mmarekani mweusi bali ni mhindi wa Canada
Wamarekani weusi wanamkataa Kamala Harris kama walivyomkataa Obama kwa vile hawana asili ya utumwa.

La si hivyo kwa marekani hata ukiwa na asilimia moja tu ya weusi kwenye damu yako wewe unakuwa mweusi.
 
Kamala yeye mwenyewe alikuwa anakiri kuwa more indian, wewe ni nani ubishe ?

Hujui kiingereza zaidi ya hizo "bullshit" za kukariri kwenye muvi au huna bando l la kuicheki video ?


Your browser is not able to display this video.
 
Njia ni nyeupe kabisa kwa Trump,

Uongozi wa Biden wamefungua mipaka maharamia milioni 20 wameingia bila vibali, Uhalifu umeongezeka, Mamia ya mabilioni ya kodi za wananchi yanapelekwa Ukraine, Mfumuko wa bei, Soko la hisa limecrush vibaya mno, n.k.
Wewe mbuzi unaishi kijiji cha Ikwiriri, halafu unaongea kama uko US
nenda kawashe dawa ya mbu
 
Wewe mbuzi unaishi kijiji cha Ikwiriri, halafu unaongea kama uko US
nenda kawashe dawa ya mbu
If you prefer Local chambers over International dialogue, you're in the wrong place,
 
Pumba tupu. Unaijua one drop rule? Ulitaka aseme kuwa yeye ni mzungu?

Kwa Wewe mtu wa “ass-hole country” race ya Kamala inakuhusu nini kama siyo ujinga na ulimbukeni tu? Na wewe unaamini kuwa Obama hakuwa raisi halali wa marekani?
 
Mleta mada hauleweki kwa 100%.
Unataka kusema, kwa sababu Kamala Harris sio mtu mweusi hivyo watu weusi hawatampa kura?
Kwa hiyo wamerekani weusi wanamuunga mkono Trump kwa sababu ni mweusi?
Ama tangu lini Trump amekuwa na sera au siasa za kuwapenda watu weusi?
 
Pumba tupu. Unaijua one drop rule?

Kwa Wewe mtu wa “ass-hole country” race ya Kamala inakuhusu nini kama siyo ujinga na ulimbukeni tu? Na wewe unaamini kuwa Obama hakuwa raisi halali wa marekani?
While I appreciate your curiosity, it seems you already know it's meaning, Why ask what you already know ?

Perhaps we could delve into more complex aspects or explore new perspectives?
 
Kumbe democratic nikama ccm tu ,huyo mama alienda mpaka Zambia ambapo ilionesha ndipo wazazi wake walitokea na asiliyao

Huko Jamaica ikoje Tena .....kumbe democratic waliona mbali wakihisi watu hawana taarifa naye
 
Majuzi kalazimisha kuongea kwa lafudhi ya wamarekani weusi kaumbuka vibaya mno mithiri Mkongomani anaelazimisha kuongea kiswahili cha bongo.
Wala sio hoja yenye nguvu hapo!!kwani Trump ndio anawapenda weusi na wahamiaji?
 
Mbona unakuwa muongo kama Trump? Kamala Harris hajawahi kujitambulisha kama mhindi. Hajawahi kumkana mama yake lakini siku zote amekuwa akijihesabu kuwa ni mweusi kwa sababu baba yake ni mweusi. Amesoma HBCU.

Watu kama Dr. Umar wanapinga ndoa kati ya race tofauti ndio maana hamkubali Kamala. Aidha, kuna wapuuzi katika jamii ya wamarekani weusi ambao wanaamini kuwa mtu yeyote asiyekuwa DoS hana haki ya kujiita mweusi.

Hao ndio waliokataa kumtambua Obama kama mtu mweusi kwa vile tu mama yake alikuwa mweupe. Marekani mtu yeyote mwenye damu nyeusi ni mweusi. Hata iwe kidogo vipi. Hii inajulikana kama one drop rule ambayo ilitumika katika kuzuia ndoa kati ya watu wa race tofauti. Ndio maana watu kama Alicia Keys wanatambulika kama weusi na sio weupe.

Kamala ni hivyo hivyo. Yeye na mdogo wake wanatambulika kama weusi na jamii ya watu weusi kwa kiasi kikubwa imewakubali. Hii imeonyeshwa na namna wanawake weusi walivyo mkumbatia kwa wivu mkubwa. Na hao ndio watakaompeleka White House.

Amandla....
 
Mkuu achana na hivo vipuuzi vinavyoanzisha mada zinazowazidi kimo. Laiti angejua jinsi idadi kubwa ya hao anaowaita weusi walivyoshikamana na Kamala. Laiti angejua Trump anavyoteseka na ujio wa Kamala!
 
Mkuu achana na hivo vipuuzi vinavyoanzisha mada zinazowazidi kimo. Laiti angejua jinsi idadi kubwa ya hao anaowaita weusi walivyoshikamana na Kamala. Laiti angejua Trump anavyoteseka na ujio wa Kamala!
Ni vizuri kuwaelimisha kidogo, Mkuu.

Amandla...
 
Trump is a convicted felon and who knows his type better than Kamala?
Unakumbuka 2016 ?

Hakuna Poll iliyoonesha Trump kumpiku Hillary, unajua kwanini ? Polls sio zinafanyika kwenye makundi ya Democrats wengi, Biased polls, Long gone are the days when polls zilifanyika neutral.

Ni watu hao hao wanaozichonga hizo polls walikuaminisha 2016 kwamba Hillary yupo mbele kila kitu.

IGNORE THE POLLS !! WAIT FOR THE ELECTIONS !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…