Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

Sema Marekani kuna mambo wako mbali sana. Hapa bongo mtu kama Rostam au Bashe hawezi thubutu kuutaka urais pamoja na kukulia hapa.
 
Wamarekani weusi wanaomktaa Kamala hawana tafauti na wajinga ndiyo waliwao wa Tanzania.

Wakimkataa wakimkubali haijalihsi. Marekani ni Republic kama Tanzania, masanduku ya kura ni boshen tu.

Atawekwa Urais wamtakae "aristocrats" siyo kwa sanduku la kura.
 
Kamalla Harris na Biden wameharibu sana maisha ya wamarekani hasa weusi, wameruhusu maharamia milioni 20 kuingia Marekani bila vetting, maharamia hao wanalala hotelini, wanapewa pesa, chakula, n.k. wakati kuna wamarekani weusi wengi wanalala nje.
 
Kama baba yake ni mjamaica mbona mmempa asilimia chache akati kwa baba ndio asili ya mtoto
Baba ni mjamaica chotara kati ya Mjamaika mweusi na Mzungu. Hivyo, kiuhalisia baba yake ni Mzungu.
 
Wamarekani ni vyema Sana wakamchagua huyu mama Kamala Harris kuwa Rais wao. Trump akirudi Tena madarakani atawasumbua Sana, atawatia misukosuko Hadi wakome
 
We mpogolo Kamala kakukosea Nini? Hebu pambana kudai TANGANYIKA yako.
 
Lakini harris kwa blacks ni bora zaidi kuliko trump ambaye amekuwa na kauli nyingi za kibaguzi dhidi ya blacks, juzi alisema foregners are taking black jobs kitu ambacho ni cha kibaguzi
Kamala anaongoza mpaka sasa huko USA
Ila kwa Bongo ni Trump
Mzee fedhuli sana huyo na ana mdomo mchafu
Eti black jobs daa
 
Media zimeingiliwa na vyama vya siasa, kura za maoni hazina maana sikuhizi..

Cnn ni democrats, kura za maoni nyingi wanawapendelea Democrats, Uhalisia ni kwamba kwa sasa Trump yupo mbali mno.
Unaota wewe.
 
kwahiyo wahindi hawana black indian ? watu weusi tuna asili ya ubaguzi , anaeza kuwa black american mwenye asili ya afrika , asia au latin america au carribian

hakuna ethinicity inaitwa black bali black physical feature anaeza kuwa nayo mwarab , mhindi , mchina , mpersia , mshirazi au mjapan

Tupende kuelewa badala ya kuweka mbele akili za ubaguz
 
Njia ni nyeupe kabisa kwa Trump,

Uongozi wa Biden wamefungua mipaka maharamia milioni 20 wameingia bila vibali, Uhalifu umeongezeka, Mamia ya mabilioni ya kodi za wananchi yanapelekwa Ukraine, Mfumuko wa bei, Soko la hisa limecrush vibaya mno, n.k.
Kamwe Kamala hashindi ng'o. Il japo Trump atashinda ila hataongoza US kwa kuenjoy maana ni dhahiri atakutana na changamoto kubwa sana ya severe financial crisis na next pandemic, infact US itashuka kiuchumia kwenye kipindi chake.
 
Kamwe Kamala hashindi ng'o. Il japo Trump atashinda ila hataongoza US kwa kuenjoy maana ni dhahiri atakutana na changamoto kubwa sana ya severe financial crisis na next pandemic, infact US itashuka kiuchumia kwenye kipindi chake.
Ni kweli kwamba uwezekano wa Trump kushinda Uchaguzi ujao ni mkubwa sana ukilinganisha na Kamala Harris. Lakini ni kweli kabisa kwamba Trump atawatia misukosuko sana Raia wa Marekani endapo kama ataingia Tena madarakani.
Ni vyema Sana Raia wote wa Marekani ambao ni wapenda Demokrasia, haki, usawa na ustaarabu wajitokeze Sasa ili kumpigia kampeni ya nguvu ya "kufa na kupona" ili chama Cha Democrats kishinde kiti Cha Urais ili kuepuka balaa la Utawala mbaya wa Bw. Trump.
Trump ni mtu hatari sana kwa amani, utulivu, demokrasia na usalama wa Marekani. Wapambane Sana Sasa ili kuhakikisha Trump hapati nafasi ya kurudi Ikulu tena.
 
Tayari amempa 'chance' mzee Trump ya kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…