Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

Amani kwako mdau.

Direct kwenye topic; Huyu mama dada yangu Kamara Harris ametua Zambia na kufanya kilichompeleka kwa mjoli mwenzangu Rais wa Zambia Mh. Hichilema...
Kamala bado hajafika Zambia. Ataenda huko akitoka Tanzania tarehe 31. Pia ni kweli Kamala aliwahi fika Zambia mwishoni mwa miaka ya 60. Kama Kamala kazaliwa 1964 aliwezaje kwenda Lusaka 1960? Nadhani utafute jukwaa la wale watu wanaoandika xaxa, 2onane, ela, ugari, Kisalawe, kwasababu ndo mnaendana uwezo wa kufikiri.
 
Amani kwako mdau.

Direct kwenye topic; Huyu mama dada yangu Kamara Harris ametua Zambia na kufanya kilichompeleka kwa mjoli mwenzangu Rais wa Zambia Mh. Hichilema.

Mara baada ya purukushani kadhaa huyu mama akadai miaka ya 1960, babu yake mzee Gopalan aliyewahi kuishi nchini humo baada ya serikali ya India miaka hiyo kumtuma huyo babu kwenda kuwachukua wakimbizi wa kihindi waliokuwa hapo.

Yaani kuongea hilo amewapa usumbufu na kashikashi maafisa ubalozi wa marekani, wananchi pamoja na serikali ya Zambia.

Wapi nasema asije akatupiga?

Huyu makamu wa Rais Kamara alizaliwa October 20. 1964 na anasema mwaka 1960 aliwahi kumtembelea mzee Gopalan wakati akiwa mdogo, au aliendaje kwa babu yake akiwa hayupo duniani?.
Kuna tofauti ya mtu akisema 1960 na akisema 1960s hasa ukitumia lugha ya Kamala Harris.
 
Huyu makamu wa Rais Kamara alizaliwa October 20. 1964 na anasema mwaka 1960 aliwahi kumtembelea mzee Gopalan wakati akiwa mdogo, au aliendaje kwa babu yake akiwa hayupo duniani?.
Kajipange
 
Mimi nachojua wanapokuja hawa huwa wanatuachia mabalaa tu!

Ona Kenya hapo alikuja beberu ameondoka hata week haijapita wakapitisha mambo ya kipuuzi tena kupitia chombo kikubwa "mahakama"

Hata sisi tutegemee makubwa zaidi ya hayo.
Kwa kifupi mgozi nyeusi ni balaa tu.
Kwani lazima upokee kila unaloambowa?
Una akili ya kikoloni sana
 
Ndugu yangu nimejaribu kupitia kujiridhisha kuhusu umri nafikiri huenda ulisikia vibaya.

Nimepitia vyanzo kadhaa vinabainisha kwamba Kamara alikuwa Lusaka, Zambia miaka ya 60 mwishoni yaani late 1960's na sio mwaka 1960. Huenda hakusikika vizuri...
Hii picha inaweza kuwa ni ya miaka ya mwisho ya 80s au mwanzoni mwa 90s alikuwa mwananke tayari.
 
Kwanza tunatakiwa tufahamu tofauti ya 1960s na 1960.

Sijui kama naelewa sahihi au la. Ukiona 1960s maana yake ni miaka ya sitini, yaani kuanzia 1960-1969.
 
Back
Top Bottom