Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akivaa nguo za kushindiaKamala hawezi shinda
Kwani Trump anaijua historia ya Amerika?Trump anasema huyo mama ndiye mwanasiasa dhaifu kuliko wote katika historian ya America.
Wameanza maigizo, ngoja ifike November mshuhudie huyo Kamala anavyoishia kupata 31% ya kura zote
Deborah hakutawala, alikuwa mwamuzi. mwamuzi sio mfalme. hakuna mfalme wa kike. hata taifa la Israeli walivyokwenda vitani wakati huo, amirijeshi mkuu alikuwa ni Baraka sio DeboraUongo, uongo. Wako wanawake wengi Walitawala hata agano LA kale. Mfano ni Deborah
Ccm nao walisema Tundu Lissu ndio alikuwa mpinzani dhaifu kushinda wapinzani wote waliowahi kupambana nao ktk uchaguzi nchini Tanzania.Trump anasema huyo mama ndiye mwanasiasa dhaifu kuliko wote katika historian ya America.
Hata wakati fulani walisema mtu mweusi hawezi kupata urais nchini Marekani lakini alikuja akapata tena mihula miwili mfululizo.USA kamwe hawawezi kumpa urais mwanamke. Jinsi hii inaweza kuaminiwa katila mambo ya usaidizi tu lakini siyo katika kufanya maamuzi ya mwisho ndani majukumu mazito na nyeti ya kitaifa.
Ni vile kama "deep state" ilivyo "compromised" katika nafasi ya urais hapa Tanzania na kuwa "biased & prejudiced" kwa Wakatoliki - Ukristo na Washia - Uislamu. Kwao "gender issue" katika uongozi wa kitaifa ni kitu nyeti mno