Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
CCM hilo nalo mkalitazame 😃😃😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clinton alimshinda Trump zaidi ya kura million 3 bahati mbaya electoral college hazikuwa upande wake, Kamara ana chance kubwa sana ya kushinda, Trump kichwani zero na wamarekani wengi wanajua hilo, wanawake sio issue US wameshinda chaguzi kubwa nyingi tuuLinapokuja swala la Gender kwenye nafasi nyeti za uongozi hasa Uraisi nchini Marekani.
Nadhani Historia yenyewe inajieleza.
Kamala Harris kushinda uraisi, Labda mambo yaharibike sana in Kikwete's say...😄
Mbona wao ndio wanaouharibia wake zetu na ngo zao za kuwapormote wakina mama nje ya nafasi zao walizopewa na Mungu.Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE
Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!
Niko 👉
Labda mambo yaharibike sana in Kikwete's say..Clinton alimshinda Trump zaidi ya kura million 3 bahati mbaya electoral college hazikuwa upande wake, Kamara ana chance kubwa sana ya kushinda, Trump kichwani zero na wamarekani wengi wanajua hilo, wanawake sio issue US wameshinda chaguzi kubwa nyingi tuu
Naona unafananisha Bongo na MarekaniKwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE
Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!
Niko 👉
sidhani kama atashinda.
Nyani alikuwa Democrat alipopata uraia wake fake akawa RepublicanCc Kiranga na Nyani Ngabu Maoni yenu ni muhimu hapa.
Kipindi anachuana na clinton 2016 mlisema hivyo hivyoHuyo atamshinda trump na hamtoamini
Kamala Harris ana nafasi kubwa ya kushinda kuliko Trump.Mdomo ule wa Trump... Mama ajiandae tuu kubeba kapu la maudhi..
Wacha muda uongee.. USA pasua kichwa..Kamala Harris ana nafasi kubwa ya kushinda kuliko Trump.
Trump angeshindanishwa na Biden, Trump asubuhi na mapema angeshinda kwa kishindo.
Trump amechafuliwa na kuchafuka sana. Kamala Harris kiwiano ni msafi kuliko Trump. Joe Biden na Trump walikuwa pasu.
Democrats waliotaka kumpigia kura Trump ili kumwadhibu Biden, sasa wanarejea kwa Kamala.
Hapo bado Republicans wasiokubaliana na Trump kwa msingi wa maadili na makando2 yake.
Kwa hiyo Kamala akifanikiwa vizuri kuzichanga karata za siasa katika harakati hizi za lala salama, atashinda.
Ikumbukwe kwamba Hillary Clinton ilibaki kidogo tu hivi aingie ikulu 2016!
Leo Alhamisi, Julai 25, natabiri kuwa Kamala Harris atashinda uchaguzi wa Marekani 2024!Cc Kiranga na Nyani Ngabu Maoni yenu ni muhimu hapa.
Huo ndio ukweli, bora angebaki babu Joe angalau angetikisa kibuyu.Kamala hawezi shinda
mwanamke kumtawala mwanamume ni uasi!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Israel imekwishatawaliwa na Waziri Mkuu mwanamke Golda Meir. Kwa Kamala kuwa rais USA inawezekana.Deborah hakutawala, alikuwa mwamuzi. mwamuzi sio mfalme. hakuna mfalme wa kike. hata taifa la Israeli walivyokwenda vitani wakati huo, amirijeshi mkuu alikuwa ni Baraka sio Debora
inawezekana. lakini ni uasi. (kwa namna ya rohoni)Israel imekwishatawaliwa na Waziri Mkuu mwanamke Golda Meir. Kwa Kamala kuwa rais USA inawezekana.
Labda Kwa sbb ya jinsiaHuyo atamshinda trump na hamtoamini