Kamala Harris njia nyeupe

Kamala Harris njia nyeupe

Linapokuja swala la Gender kwenye nafasi nyeti za uongozi hasa Uraisi nchini Marekani.

Nadhani Historia yenyewe inajieleza.

Kamala Harris kushinda uraisi, Labda mambo yaharibike sana in Kikwete's say...😄
Clinton alimshinda Trump zaidi ya kura million 3 bahati mbaya electoral college hazikuwa upande wake, Kamara ana chance kubwa sana ya kushinda, Trump kichwani zero na wamarekani wengi wanajua hilo, wanawake sio issue US wameshinda chaguzi kubwa nyingi tuu
 
Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE

Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!

Niko 👉
Mbona wao ndio wanaouharibia wake zetu na ngo zao za kuwapormote wakina mama nje ya nafasi zao walizopewa na Mungu.
 
Clinton alimshinda Trump zaidi ya kura million 3 bahati mbaya electoral college hazikuwa upande wake, Kamara ana chance kubwa sana ya kushinda, Trump kichwani zero na wamarekani wengi wanajua hilo, wanawake sio issue US wameshinda chaguzi kubwa nyingi tuu
Labda mambo yaharibike sana in Kikwete's say..
 
Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE

Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!

Niko 👉
Naona unafananisha Bongo na Marekani
 
1714589082254.jpg
 
Mdomo ule wa Trump... Mama ajiandae tuu kubeba kapu la maudhi..
Kamala Harris ana nafasi kubwa ya kushinda kuliko Trump.

Trump angeshindanishwa na Biden, Trump asubuhi na mapema angeshinda kwa kishindo.

Trump amechafuliwa na kuchafuka sana. Kamala Harris kiwiano ni msafi kuliko Trump. Joe Biden na Trump walikuwa pasu.

Democrats waliotaka kumpigia kura Trump ili kumwadhibu Biden, sasa wanarejea kwa Kamala.

Hapo bado Republicans wasiokubaliana na Trump kwa msingi wa maadili na makando2 yake.

Kwa hiyo Kamala akifanikiwa vizuri kuzichanga karata za siasa katika harakati hizi za lala salama, atashinda.

Ikumbukwe kwamba Hillary Clinton ilibaki kidogo tu hivi aingie ikulu 2016!
 
Wacha muda uongee.. USA pasua kichwa..
 
Cc Kiranga na Nyani Ngabu Maoni yenu ni muhimu hapa.
Leo Alhamisi, Julai 25, natabiri kuwa Kamala Harris atashinda uchaguzi wa Marekani 2024!

Si kwamba atashinda kwa sababu ni mgombea mzuri/ bora. La hasha. Hana ubora wala uzuri [wa kiuongozi] wowote ule.

Ukiweza litunze hili bandiko langu ili tuweze kulirejea siku ya Jumanne, Novemba 5, 2024, panapo majaliwa tukiwa bado hai kufikia wakati huo.

Nina uwezo mkubwa sana wa kutenganisha hisia zangu, upendeleo wangu, na ukweli kwa mujibu wa nionavyo.

Mimi siyo mshabiki sana wa Trump. Ana dosari nyingi sana. Hana nidhamu. Hana impulse control. Hana common sense. Na sidhani kama ana akili kivile. Adui mkubwa wa Trump ni Trump mwenyewe.

Lakini licha ya yote hayo, sipendi kabisa jinsi vile ambavyo Democrats wamemtendea kwa kumfanyia kila aina ya figisu.

Kwangu haki ni haki tu. Hata kama mtu simpendi kivile, siwezi kupindisha maadili yangu ya kuheshimu haki na usawa kwa wote kisa tu anayepatwa na madhila ni mtu nisiyempenda.

Nikiona mtu anaonewa, hisia huwa naziweka pembeni na kuangalia mambo kupitia uhalisia wake.

Pengine labda nilipaswa kuwa Jaji au mtoa haki kwa watu.

Trump anaonewa sana. Lakini na yeye kwa upande wake huwa anarahisisha kuonewa kwa kuwapa mahasimu wake fimbo za kumchapia.

Ndo maana nimesema hana akili kivile. Hana busara. Hana nidhamu. Na hana impulse control. Na humu JF nimeshamsema sana. Nyuzi zipo.

Tukutane Novemba 5, 2024.
 
Deborah hakutawala, alikuwa mwamuzi. mwamuzi sio mfalme. hakuna mfalme wa kike. hata taifa la Israeli walivyokwenda vitani wakati huo, amirijeshi mkuu alikuwa ni Baraka sio Debora
Israel imekwishatawaliwa na Waziri Mkuu mwanamke Golda Meir. Kwa Kamala kuwa rais USA inawezekana.
 
Back
Top Bottom