Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Ni mdogo wangu kamaliza fomu 4 Uganda sasa nauliza kwa wanaojua na wenye uzoefu katika hili mnisaidie, huyu dogo ataweza kukubaliwa aunge fomu 5 hapa Tanzania baada ya kuhitimu fomu 4 huko Uganda?
Nitashukuru sana kwa watakaojaribu kunipa mwanga katika hili.
Nitashukuru sana kwa watakaojaribu kunipa mwanga katika hili.